Kujitolea/ kazi nina Diploma ya Mechanical Engineering

first-man

Member
Jun 14, 2023
5
1
Wakuu habari zenu, mimi ni mhitimu wa kada ya diploma in Mechanical engineering natafuta kazi ama kujitolea.
Mimi ni kijana mchapa kazi kwa ambaye anaweza kunisadia tunaweza kuwasiliana.

Naomba kuwasilisha na asanteni
 
Wapo mkuu kwenye baadhi ya nyuzi huko labda hukubahatika kuona tuu
Duuu! Sema ubaya wa hii fani mbwana kazi ni nyingi lakini vyeti haviyawahi matter. Yaani uzoefu aisee kunaviwanda hasahasa vya wa china aisee hata cheti Cha darasa la Saba hawakuulizi. Wao wanakupa mzigo tengeneza ukiweza sawa ukishindwa wanakutimua
 
Umeandika vitu vya msingi sana mkuu, siku hzi wanazingatia sana unaweza Fanya ninii na sio certificate tuu.. ishuu inayowaumiza wengi sana
 
Wakuu habari zenu, mimi ni mhitimu wa kada ya diploma in Mechanical engineering natafuta kazi ama kujitolea.
Mimi ni kijana mchapa kazi kwa ambaye anaweza kunisadia tunaweza kuwasiliana.

Naomba kuwasilisha na asanteni
TUWASILIANE KWA KAZI YA KUFUNDISHA WANAFUZNI WA VETA 0717157640
 
Wakuu habari zenu, mimi ni mhitimu wa kada ya diploma in Mechanical engineering natafuta kazi ama kujitolea.
Mimi ni kijana mchapa kazi kwa ambaye anaweza kunisadia tunaweza kuwasiliana.

Naomba kuwasilisha na asanteni
TUWASILIANE KAZI YA KUFUNDISHA LEBVEL 1-3
KIDT VTC MOSHI 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom