Nawezaje kujiajiri na elimu yangu ya diploma (Mechanical eng)

Kwa vyuo vya ufundi kama practical znapgwa kweli si mchezo ndo mana nkauliza hvyo mana hata mimi natokea huko nlichukua mech eng
Inategemea ww ulisoma miaka gani ila kwa siku hizi practical si sana hadi wafike viwandani ndio hujifunza kazi kivitendo zaidi.
 
Ingia zako mtaani kisha ingia garage za mtaani vyeti vyako weka pembeni kipindi icho,kisha baada ya miezi kadhaa nenda kwenye makampuni makubwa kama yale ya kusafirisha Mafuta,kaombe kazi tena hapo utakuwa ni mzuri sana kwakuwa ulipitia mtaani,Hapo lazima ulambe kitengo kikubwa utakuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kuagiza kwa wale wafundi wadogo wadogo kuhusu kuwapangia kazi wewe
 
Kwa vyuo vya ufundi kama practical znapgwa kweli si mchezo ndo mana nkauliza hvyo mana hata mimi natokea huko nlichukua mech eng
practical kweli tumefanya nyingi, ila kusema kwamba una experience kwenye vitu vyote, inaweza isiwe kweli... labda kama ulikuwa na maana nyingine ulipoongelea experience
 
Sorry, kama nitakua natoka nje ya mada BUT swali hili ulitakiwa kujiuliza toka siku ya kwanza wakati unafikiria usomee nini diploma ingekurahisishia kujua unapoingia msituni ni mnyama gani unamuwinda. Ila haujachelewa nice move wadau watakushauri mambo mazuri tu hapa!
Na me ndo nimepata utata. Nafikiri somo la ujasiriamali liwe la lazima katika kila kozi hapa nchini kuanzia ngazi ya cheti mpka uprofesa. Hii itamsaidia mhitimu kufahamu jinsi ya kuingiza pesa kutokana na elimu yake.

Haiwezekani mtu asome mechanical enge (kozi ya vitendo na ubunifu) halaf asifahamu kitu cha kufanya!!!!
 
Mbna somo LA ujasiriamali lipo na ni la lama muulize nleta thread atakuambia
Na me ndo nimepata utata. Nafikiri somo la ujasiriamali liwe la lazima katika kila kozi hapa nchini kuanzia ngazi ya cheti mpka uprofesa. Hii itamsaidia mhitimu kufahamu jinsi ya kuingiza pesa kutokana na elimu yake.

Haiwezekani mtu asome mechanical enge (kozi ya vitendo na ubunifu) halaf asifahamu kitu cha kufanya!!!!
 
Ingia zako mtaani kisha ingia garage za mtaani vyeti vyako weka pembeni kipindi icho,kisha baada ya miezi kadhaa nenda kwenye makampuni makubwa kama yale ya kusafirisha Mafuta,kaombe kazi tena hapo utakuwa ni mzuri sana kwakuwa ulipitia mtaani,Hapo lazima ulambe kitengo kikubwa utakuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kuagiza kwa wale wafundi wadogo wadogo kuhusu kuwapangia kazi wewe
Of course mtaani ni sawa, ila shida yake ni kwamba unapoanza wana kutreat sawasawa na mafundi wa mtaani ambao wengine hata kusoma hawajui, mpaka uwe fundi expert utakuwa ushapigika hatar, kikubwa hata kama nikiingia mtaani atleast niwe na kitu cha kuniingizia hela.. Na unajua elimu yetu hii huwezi kujiita fundi expert hata kama ulikuwa unapata A.. mtaani ni kitu kingine
 
Ingia workshop upate uzoefu wa kudesign na kutengeneza 'majiko' ya gesi ya kupikia chapati, deep fryers n.k.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom