kama upo telegram download hii program itakusaidiaKwa wale wataalamu wa IT,kuna document yangu niliweka kwenye format ya PDF na nikaiwekea password sasa bahati mbaya nimeisahau na ni ya muhimu sana,kama kuna anaejua ni jinsi gani ninaweza kuifungua naomba anipe maujuzi...
Asante ngoja nifanye mchakato ntaleta mrejeshokama upo telegram download hii program itakusaidia
password recovery.exe