Nawezaje kufungua PDF yenye password?

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,826
22,935
Kwa wale wataalamu wa IT,kuna document yangu niliweka kwenye format ya PDF na nikaiwekea password sasa bahati mbaya nimeisahau na ni ya muhimu sana,kama kuna anaejua ni jinsi gani ninaweza kuifungua naomba anipe maujuzi...
 
Nimesha download ile file kupitia Telegram account yangu kwahiyo step gani inafuata mku..?
 
Kuna sofware nyingi tu za kufungua hiyo kitu. Google how to open protected PDF document. Utapata mavitu kibao.
 
Back
Top Bottom