CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
-
- #201
heee, kumbe tupo wengi? nilidhani ni mimi mwenyewe...afadhali sasa nimefarajika kwa kuwa nilidhani niko peke yangu.
hahahaha! ngoja nicheke kwanza.....
naomba nikuswalike swali CL: Je, huwa wewe ni mwepesi wa kutoa vitu tu au huo udhaifu wako upo hata kutoa papuchi? please reply.
Jitahidi walau uweke kaukatili kidooogo tu;
Hata kama haujazaliwa nao lakini jaribu tu kuapply.
Mara zote watu wa hivyo huwa hatufanikiwi sana kimaisha;
Nimejifunza sana kutokana na hilo.
Done..nikitaka nimsamehe mbele yako ili nikujibu lile Swali la kusamehewa vocha...done..nishasamehe..
Na,siku hizi mtu anaweza kukubambikia utasikia..'tigo pesa yako ina hela kidogo'? Ukijifanya msamaria tu ushaliwa..
Eeeeee makubwaa nishachambwaa wapii miee ,!!!?umbea umenifundisha we ni mwalimu wangu,halaf shoga mi wa ninii,wa mtaani wananitosha hapa tunapiga udaku tu ili siku ipite
Ebu njoo kule pm, acha mbwe mbwe binamu
[/B]
Mamndenyi hapa umeongea kapoint maana na mimi nimekuwa na hii tabia sana lakini naona kama na-step back vile.
Ebu nianze kuaply ushauri wako aisee, i hope sijachelewa
zamani nilikuwa kama wewe ila siku hizi nimekuwa mgwadu. kauzu kama dagaa. fanya yaliyo ndani ya uwezo wako daughter, ukijitoa sana kwa mtu ndio madhara yake hayo maumivu.
some how, lakini hili si kweli labda umtolee Mungu kwenye nyumba za ibada, binadamu wanaudhi sana.
mimi nimemuelewa vyema mleta mada na hii tabia imeshanigharimu sana nimefikia hata hatuwa ya kuwa gurentee wa watu kwenda kukopa mikopo isiyo na riba kwa makubaliano pesa isipolipwa deni linahamia kwangu.
watu hawako fair kabisa dunia hii tena mijitu mishenzi ya tabia ndio inayofanikiwa haraka hovyo kabisa.
kwakweli moyo wa kujitoa kama siku za nyuma nitakuwa nao kwenye special case tu na niguswe kweli kwa sababu mara nyingi shida zangu nimekuwa nikizimaliza mwenyewe.
last time nilikuwa na viela si vya kuweka benki sasa kuna mshkaji ana biashara zake nikawa nimeshamsoma ana financial harassment inamsumbuwa kuwalipa casual Labour wake, nikamwambia mimi nina pesa hapa ila nina kazi nayo tarehe fulani utakuwa umeshakaa sawa nikupe hii, alifurahi sana nimempa ndio kimoja na niliambulia 50, 000/= tena hii ilibidi niombe kwamba nina shida na sina pesa. imagine pesa yangu halafu kulipa liwe ombi?
Hhahaha Bi Mkubwa wako yuko kama wangu.... mpaka tukamuita "Mkatoliki" nyumba haikauki wageni hasa wa mwisho wa mwezi.....
Wageni wanajaa wanalala hadi sebuleni...
Tulipoyumba weeeee walitutetaje... hadi kijijini
Tukaja tukanyanyuka hao wakarudi...Bi Mkubwa akasamehe kabisaaaa wala hana hata kinyongo hahahahah
Ikabidi watoto tuitane kikao cha dharura aisee...haiwezekani tujinyime wazee waishi vizuri halafu wengine watuletee udwanzi wakati tukipata shida hatuwaoni.... kikao kikaamua kila mtu atimuliwe... imagine mtu kaja simply kachoka kukaa kijijini...au anaacha mke anakuja "kupumzika"
Tulitimua woteeeeee
Ndo maana nakwambia njoo nikufundishe ubandidu... tena unamkatalia mtu huku umeweka sura ya huzuni kuonyesha upo pamoja nae ktk wakati mgumu anaoupitia
Pole sana....
Kibongobongo ukikopesha hesabu kama umetoa sadaka tu..... kurudi majaliwa
bora utowe kikojoleo ujuwe ulipata starehe yako kuliko pesa hovyo kwa manyang'au.