Nawezaje kuacha tabia hii mbaya?

Nawezaje kuacha tabia hii mbaya?

Nilikua nasukumizwa masingi weee mwisho wa siku akawa ananshtua mwenywe tuu likipta la ukwel utaskia chek uumbaji huo.... nmejikuta naacha mwenywe
ahahahaaaa ngoja na mie nianze kusukuma masingi maana nilishaongea lakini haachi
 
ahahahaaaa ngoja na mie nianze kusukuma masingi maana nilishaongea lakini haachi
Ha ha ha ha ukidundwa mie simo la msing Anza kumunyesha mwenyewe kabla hajageuka ataacha tu
 
yeah yanaisha hapo ila mnatufanya tuwaze vitu vingi kwamba mbele yangu ananionyesha tabia hii vp akiwa pekeyake.tunamshukuru mungu katupa uvumilivu na kusamehe
Sasa c ushukuru Hilo unaliona
 
Wenyewe tunaita mtindo wa kusoma preti namba ha ha ha ha!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom