Unbelievable
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 262
- 115
Acha makusudi bas tupo kwenye mfungo.![]()
lazima ugeuke tuuu....ila hilo ni pepo tafuta viongozi wa dini wakuombee
Mara nyingi nikipishana na msichana nisiyemfahamu lazima nigeuze shingo kumtazama kwa nyuma.Ni wengi wenye tabia hii mbaya,tabia inatupotezea mda sana hata kusababisha ajali.Hata nikiwa kwenye gari lazima nimtizame kwenye kioo.Tunawezaje kuepuka hili wataalam wa mambo ya saikolojia?
Sasa hapa mimi nisigeuke kweli!!!
DuhHii imekaa kiphysics zaidi mawaswala ya walimbwendetation force na SI Unit yake ya “Lazima ugeuke”
Formulae other factors remaining constant
Big Azz Booty/Beauty Azz Face × Beyonce's like Motion=Multiple Angles Head Rotations.
Siyo dhambi it comes naturally bro...mambo ya sexy human physical features hayo.
Ahsanteeeee![]()
lazima ugeuke tuuu....ila hilo ni pepo tafuta viongozi wa dini wakuombee
wapi nimesema nina gari,acha kinyongo na mimiAsante point tumeipata hongera kwa kua na gari.
nisamehe mzee mwenzangu siku juaAcha makusudi bas tupo kwenye mfungo.
Ni kujiendekeza tu ase..Mwanaume kamili yupo hivo mkuu.
Thubutu... Kugeuka lazimaSasa hapa mimi nisigeuke kweli!!!