Naweza pata wapi Tindikali?

Naweza pata wapi Tindikali?

anayedhamiria kufanya jambo huwa hatangazi hivi....utaishia tu kusikia tukio....

 
Hata chini ya Robo lita tu, nnakazi nayo maalum
Nenda kwa wauza betri za gari au hardware kaulizie maji makalo ya betri utapata Sulphuric Acid.
Haujasema unataka ainabgani ya acid na ya kazi gani.
Ukikosa kote kabomoe beti mpya ya gari kinga hiyo tindikali.
Usiende kumwagia watu usoni sababu ya wivu wa penzi.
 
Back
Top Bottom