kuseranasera
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 622
- 390
Moshi hapana labda arusha
hapa mwishoni umetufokea sana,ila nashauri kama hiyo vitz itaenea kwenye begi inshallah utafika nayoWajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni
Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?
Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro
Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia
NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni
Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?
Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro
Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia
NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Kwahivyo mkuu unadhani nimepost ili watu wajue nina vitz
Nikwambie kitu hakuna kitu nilikua nawaza kama hiki nilikua najiuliza ningepost watu wangeniattack kwamba naendesha vigari vya kike mara wanaita baby walker
Hili swala nalisikia na kulisoma kila mara humu kuhusu kupumzisha injin kila utembeapo, naomba ufafanuzi nafikiri mimiuelewa wangu ni mdogo sana ktk hilo.Inawezekana sana mkuu. Ila nakushauri usiende moja kwa moja bila kuipumzisha pumzisha injini
Mkuu chombo kikiitwa Toyota kikawa kizima katika mifumo yote muhimu kinaweza fika hata mwezini kama barabara inakuwepo.
Kama Passo inafika nadhani vitz iatafika salama tuu
Dah [emoji23][emoji23][emoji1544]Mboba Vitz nyingi zipo Iran zinasafiri kutoka Tehran hadi Shiraz umbali huo huo Dar hadi Moshi?
Hata hivyo tumejua umenunua gari (Vitz).
Hongera Black Persian!
Niliona mtu kasafiri na passo Dar hadi Arusha. Mimi Sina hata Pikipiki ila nishawahi ticket ya treni ya MagufuliHongera. Kumbe una passo pasua😊
Niliona mtu kasafiri na passo Dar hadi Arusha. Mimi Sina hata Pikipiki ila nishawahi ticket ya treni ya Magufuli
Watu manadanganyana humu ndani....Vitz ina uwezo Wa kwenda 1,000km nonstop.Inawezekana sana mkuu. Ila nakushauri usiende moja kwa moja bila kuipumzisha pumzisha injini
Nimecheka kizembe yani. Mtu anaeomba ushauri Jf kama ana moyo mdogo anaweza kula life ban. We jamaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hapa mwishoni umetufokea sana,ila nashauri kama hiyo vitz itaenea kwenye begi inshallah utafika nayo
unakuta magari yenye cc 3000 yanakukata kama umesimama ha ha ha ha ha we kila ukikanyaga mafuta kigari kinatoa moshi tu ila kuna wakurungwa wana roho ngumu utakuata wako na kanisani March kile nao wanatoboa kwenda mbeyaKama unauzoefu na safari ndefu inafika, kuna jamaa ndio safari zake na vitz , sema shida tu barabarani wengi watakuwa wanakuonea
mkuu hivi huwa unasafiri na gari au kwa gari?nieleweshe kiswahili huwa kinanichanganya.Nimecheka kizembe yani. Mtu anaeomba ushauri Jf kama ana moyo mdogo anaweza kula life ban. We jamaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]