Naweza Kusafiri Dar to Moshi na gari ya Vitz?

Naweza Kusafiri Dar to Moshi na gari ya Vitz?

Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Kwamba vitz si gari ni mkokoteni? Gari yoyote inafika popote, kuwe kunapitika tu.
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Huu ndio muda wa wajuba wa Mbagala kukupasua vipande vipande...joking😂😂😂!!!

Mkuu chombo kikiitwa Toyota kikawa kizima katika mifumo yote muhimu kinaweza fika hata mwezini kama barabara inakuwepo. Kuhusu moshi we nakusihi kamwage oil na fanya diagnosis ya mifumo ya breki na upoozaji engine. Kama iko sawa badili tairi kama zimechoka anza safari!
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Na ujanja wako wote dingi ukanunua vitz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mimi nna Vitz Old Model, 1298 cc nishasafiri nayo mara tatu kutoka Dar hadi Singida, go and return( Dar to Sgd appr. 720 Km)

Gari inafika vizuri tu, hakikisha una tairi nzuri na ya ziada pamoja na vitu vyote muhimu kwa safari.

Endesha mwendo wa wastani tu, speed ya Serikali, ukizidi sana 100 kph, hii itakusaidia pia ku tumia mafuta yako vizuri.

Unaweza kuweka stops kadhaa kwa ajili ya kupumzika wewe pamoja na gari, Me huwa napumzika Morogoro kama nusu saa na pia Dodoma nusu saa, inatosha sana.

Mengine ya kuzingatia ni ya kawaida tu kama dereva na mmiliki wa Chombo cha Moto.

Usifanye ligi na wenye Crown na magari mengine ya kufanana na hayo. Utakutana na wengi tu wana magari madogo haswa IST au Raum, hao unaweza kuunga company nao ili safari iwe tamu kidogo.

Safari Njema mkuu, kuwa makini na 50 na mistari kwenye ku overtake, jamaa wapo kazini, haswa mkoa wa Pwani, kuwa makini
 
Wewe ni mchaga? Kama ndio jichunguze mara mbili mbili, hilo kabila ikifika muda wa kwenda kwao kila kitu kinazima kwenye blangata yao, iwe basi lori ya kukodi lifti au self drive wataenda tuu.

1. Engine capacity ya gari yako ni ngapi? Hii itachangia kuamua gari inaweza ikatembea kilomita ngapi bila kuzima engine.

2. Ama laah uondoke kama mtalii na uwe na vituo kadha wa kadha hadi unafika Moshi. Mfano Dar unakamua hadi Korogwe kisha unalala. Engine inapoa kesho yake unaamka na kuendesha hadi himo unalala, siku ya tatu unakiamsha hadi unakoenda bila kuhofia uwezo wa gari kwenda mwendo mrefu.

3. Kama dreva ni wewe, kiwa makini barabara inayotoka nje ya nchi sio wote madereva wengine humo barabarani ni manyonya damu, zingatia usalama wako, usalama wa chombo chako na iwapo utakuwa na abiria awe mtu baki, rafiki ama familia.

4. Msimu wa sikukuu mbwembwe huwa nyingi, fanya mambo vile mbavu zako zinahimili, usinyanyue gunia la kg 130 wakati hujawahi kubeba hata ndoo ya lita 20.

5. Tumia pesa yako kwa makini, enjoy have fun but dont forget to be wise.
Jumo to the sky and have an air snap but note where youll land your feet shouldn’t cause any injuries to your legs.

Cheers and all the best during this festive season.
Umeongea vizuri Manka
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Vitz zinsafirishwa Zambia, Malawi, Burundi, DRC KONGO Kama IT, sembuse Moshi. Ni driving yako na kujali stop overs njiani ili injini ipoe kidogo.
 
Back
Top Bottom