Naweza kumuombea mtu kifo na akafa?

Naweza kumuombea mtu kifo na akafa?

Kuna mtu mmoja aliwahi kufanyiwa mpango wa kazi ktk ofc moja ambayo mimi nilitaka niingie kihalali kabisa.wakafanya wajuavyo na mipango yake yote akimtumia mtu mmoja mle ofcn bila mafanikio maana hakua na sifa zaidi ya mimi.lakini MUNGU siyo mzee Jolijo nikaipata ile ajira na kuanza kupiga kazi mwanzo mwisho.after wiki tatu nikaja kukutana na yule jamaa mtaani akasimamisha gari na kuniambia/namnukuu ''ninakuombea upate ajari mbaya uvunjike miguu au ufe kabisa'' mwisho wa kunukuu maneno yake.nikamjibu ubarikiwe,akaenda zake.baada ya masaa mawili nikapata taarifa yule jamaa kapata ajari na ameumia sana na mpaka leo sijawahi kumuona.nachoweza kusema ni kwamba,watu wabaya wanaweza kuwepo na kutumika kama jaribu la kukupandisha kiimani,akitokea mtu mbaya kwako usihukumu,shukuru MUNGU maana hukumu ni ya kwake na si yako.unaweza muombea mtu afe alafu ukafa wewe na ukamuacha anakula bata batani
 
Kuna jamaa mmoja ukitaka Fulani apotee duniani tu ukienda kwake na million... Kabla hujarejea home kwako unasikia yule mtu uliyemkusudia amekufa
Sasa ukitaka huyo jamaa mwenyewe yeye ndio afe vipi atapokea milioni!?
 
Habar za leo ndugu wanabodi,
Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee
Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine wa barabara hawatakuwepo,akifa mtu huyo hapa nyumbani najua watoto wake watalia sana hasa huyu asie na makaratasi ya baraza...lkn watoto wa majirani watafurahi sana
Akifa huyu ninayetaka kumuombea kifo lazma hapa nyumbani maisha yatakuwa Poa kiasi
Mungu sikia kilio changu!
Dua ya kuku haimpati mwewe mkuu.Vumilia sindano ziingie.
 
Watu wana mawazo mabaya na ya hatari sana. Mfano majuzi watu kijiweni wakawa wanadadisi kama Rais Tirumpou na biashara zote alizonazo hana mahusiano na jamaa wa Acashier waliojeruhiwa kibiashara ili kwa pamoja wamfanyie mtu umafia kumwondoa kwenye nafasi yake au kumwondolea uhai kama ilivyokuwa kwa wababe wengine kama Saddam na Gaddafi. Hadi niliogopa kuendelea kukaa hapo kijiweni nikajiondokea zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom