Naogopa kusema amenHabar za leo ndugu wanabodi,
Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee
Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine wa barabara hawatakuwepo,akifa mtu huyo hapa nyumbani najua watoto wake watalia sana hasa huyu asie na makaratasi ya baraza...lkn watoto wa majirani watafurahi sana
Akifa huyu ninayetaka kumuombea kifo lazma hapa nyumbani maisha yatakuwa Poa kiasi
Mungu sikia kilio changu!
Subiri mtu akuombee, utapata jibuHabar za leo ndugu wanabodi,
Sitaki kuwachelewesha...nisaidieni namna nzur ya kumuombea mtu kifo na kitokee
Kuna mtu najua akifa lazma nitapanda daraja,wajinga wanaohama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine wa barabara hawatakuwepo,akifa mtu huyo hapa nyumbani najua watoto wake watalia sana hasa huyu asie na makaratasi ya baraza...lkn watoto wa majirani watafurahi sana
Akifa huyu ninayetaka kumuombea kifo lazma hapa nyumbani maisha yatakuwa Poa kiasi
Mungu sikia kilio changu!
[emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40]Miaka kumi kutoka hivi sasa hatokuwepo katika uso wa dunia
10 mingi mi5 tu[emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40]
Watu wamepinda si kidogo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!hadi unamuombea kifo mkuu