Naweza kuhifadhi Bank vyeti vyangu?

Naweza kuhifadhi Bank vyeti vyangu?

Toka kwenye blanketi la utoto wa mama Wewe umeshakuwa mtu mzima sasa! Sidhani kama kuna kosa kutunziwa vyeti na benki! Huko undo kwenye usalama zaidi kuliko mama yako!
Umenena mkuu. Kuna watu duniani wamezidi ubwege. Eti anathub utu kusimama mbele ya wanauma anabana pua kusema etiiii bi mkubwaaa ananitunzia. Akifa huyo mama yake ina maana nd basi tena hana mtu wa kumtunzia vyeti. Ila simlaumu hana exposure. Akili yake ndo ilipogota ha ha ha
 
hahaha you are so 1940s aisee. Ati??!! bi mkubwa ndio anafanyaje?
ha ha ha mkuu. Yaaani huyu msela katika mapimbii nilio wahi ona post zao jamii forums huyu anaongoza. Eti bi mkubwa ha ha ha
 
Nilikuwa sijui kuwa mbali na fedha hata vyeti waweza kutunza bank!?

Ningependa kufahamishwa utaratibu pamoja na gharama na ikitokea upotevu au misplaced inakuwaje? Kuna 'interest' au ...nk.

Ndani ya safe ya kuhifadhia pesa za bank, kuna pia masanduku kama ya barua posta vile na kila sanduku lina funguo mbili, ufunguo mmoja hauwezi kufungua sanduku ila lazima zote mbili moja baada ya nyingine. Hivyo unakodi sanduku kadiri ya ukubwa unaotaka na unalipia gharama kiasi fulani kila baada ya miezi sita. Funguo mmoja unakuwa nao wewe na mwingine unakuwa kwa ofisa wa bank. Unapotaka kuchukua au kuweka documents zako unasindikizwa na ofisa wa bank ambaye ana ufunguo wa kwanza na akisha fungua nawe unafungua kwa ufunguo wako ndipo sanduku lako linaweza kufunguka.

Mpango huu ni muhimu na unafaa, pengine ni salama zaidi kuliko kuchimba shimo nyumbani kama walivyoshauri wengine ni hatari na pengine mali na documents zaweza kupotea bila taarifa kama ikitokea kifo cha ghafla nk.

Tanzania inaelekea kuwa gharama juu kidogo kuliko nchi zilizoendelea kama Marekani ambapo sanduku hilo huanzia na kima cha chini kwa $45 hivi kwa miezi sita.
 
Shukrani sana kwa maelezo yako mazuri candid Scope mungu akubariki.
 
Last edited by a moderator:
sifahamu matumizi ,sijuwi wapi naweza kuipata na shilingi ngapi ??

Nisaidie kujua mahali zinauzwa hata na bei zake.

Mkuu matumizi yake mbona ya kawaida tu yaani hilo shelf linamuundo kama wa friji au droo fulani ivi so ni kitendo cha kufungua na kuweka vitu vyako then unafunga na funguo. Kuna jamaa yangu analo ofcn kwake na alinunua kwa milion 2 just alienda maduka ya furniture huku mkoani then wakamuagizia dar. So kama upo mjini tembelea maduka makubwa ya furniture utapata muongozo vizuri.
 
Kumbe ni utaratibu mzuri tu ila kwa hapa tz unaoneka wa kigeni asante kwa maelezo
Ndani ya safe ya kuhifadhia pesa za bank, kuna pia masanduku kama ya barua posta vile na kila sanduku lina funguo mbili, ufunguo mmoja hauwezi kufungua sanduku ila lazima zote mbili moja baada ya nyingine. Hivyo unakodi sanduku kadiri ya ukubwa unaotaka na unalipia gharama kiasi fulani kila baada ya miezi sita. Funguo mmoja unakuwa nao wewe na mwingine unakuwa kwa ofisa wa bank. Unapotaka kuchukua au kuweka documents zako unasindikizwa na ofisa wa bank ambaye ana ufunguo wa kwanza na akisha fungua nawe unafungua kwa ufunguo wako ndipo sanduku lako linaweza kufunguka.

Mpango huu ni muhimu na unafaa, pengine ni salama zaidi kuliko kuchimba shimo nyumbani kama walivyoshauri wengine ni hatari na pengine mali na documents zaweza kupotea bila taarifa kama ikitokea kifo cha ghafla nk.

Tanzania inaelekea kuwa gharama juu kidogo kuliko nchi zilizoendelea kama Marekani ambapo sanduku hilo huanzia na kima cha chini kwa $45 hivi kwa miezi sita.
 
Inawezekana ipo section Katika benki karibia zote ambapo waweza kuhifadhi nyaraka zako muhimu kama hati za viwanja,wosia nk.Pia Vito vya thamani kama dhahabu,almas nk
Hapahapa Tanzania kweli,haya peleka vitu ivo uone kama viatakuwa salama
 
Mkuu matumizi yake mbona ya kawaida tu yaani hilo shelf linamuundo kama wa friji au droo fulani ivi so ni kitendo cha kufungua na kuweka vitu vyako then unafunga na funguo. Kuna jamaa yangu analo ofcn kwake na alinunua kwa milion 2 just alienda maduka ya furniture huku mkoani then wakamuagizia dar. So kama upo mjini tembelea maduka makubwa ya furniture utapata muongozo vizuri.

shukran mkuu.
 
baadhi ya majibu ya watu wa humu... kweli tuko tofauti!!
 
Mdingi je???

Hilo jamaa limeshaonekana ni li-toto la mama, kila wakati kukaa linamchungulia bi. mkubwa oyaaaaaaaaaaaaaaa, uwaaaaaaaaaaaaaa!!!! Hovyo kabisa! Lakini ni vyema tukakumbuka huwa kuna kukata kauli ghafla hata usiweze kuonesha vitu ulivyohifadhi viko wapi, hapo inakuwa imekula kwako! Lakini kama ni benki, kunakuwa na documents ambazo hata wanafamilia wataweza kufuatilia.

Sisi kule kijijini bibi yetu alikata kauli huku akiwa amechimbia kiasi kikubwa cha fedha ndani mwake, lakini hapakuwa na hata mmoja wetu aliyekuwa anajua wapi zilikuwa zimefichwa na huo ndo ukawa mwisho!!! Tujipeleleze katika kuwaamini sana ma bi-mkubwa kwamba wao ni kila kitu!!!
 
Mkuu umejuaje sasa kama alichimbia chini.
 
Ndani ya safe ya kuhifadhia pesa za bank, kuna pia masanduku kama ya barua posta vile na kila sanduku lina funguo mbili, ufunguo mmoja hauwezi kufungua sanduku ila lazima zote mbili moja baada ya nyingine. Hivyo unakodi sanduku kadiri ya ukubwa unaotaka na unalipia gharama kiasi fulani kila baada ya miezi sita. Funguo mmoja unakuwa nao wewe na mwingine unakuwa kwa ofisa wa bank. Unapotaka kuchukua au kuweka documents zako unasindikizwa na ofisa wa bank ambaye ana ufunguo wa kwanza na akisha fungua nawe unafungua kwa ufunguo wako ndipo sanduku lako linaweza kufunguka.

Mpango huu ni muhimu na unafaa, pengine ni salama zaidi kuliko kuchimba shimo nyumbani kama walivyoshauri wengine ni hatari na pengine mali na documents zaweza kupotea bila taarifa kama ikitokea kifo cha ghafla nk.

Tanzania inaelekea kuwa gharama juu kidogo kuliko nchi zilizoendelea kama Marekani ambapo sanduku hilo huanzia na kima cha chini kwa $45 hivi kwa miezi sita.

Huu utaratibu nimewahi kuusikia na unafaa sana japo sina uhakika kama hapa Tanzania unafanya kazi. Kwa usalama zaidi kama mtu unahifadhi nyaraka zako huko ni vizuri kumshirikisha hata mwanafamilia au mtu unayemuamini hata inapotokea tatizo mfano la kifo cha ghafla inakuwa rahisi kwa ndugu na watu wengine wa karibu kujua wapi ulipohifadhi.
 
Utaratibu wa kuhifadhi nyaraka bank ni sawa na utaratibu wa kufungua account na ndio maana wateja wa aina hiyo kuhifadhi nyaraka bank wanatakiwa sharti wawe na account bank. Hivyo hata inapotokea kifo cha mhifadhi nyaraka bank hufanya kila jitihada kumtafuta mhusika au waliokaribu na mhusika.

Niliwahi kuhifadhi nyaraka zangu ikiwamo passport kwenye bank moja nchini Marekani, niliporudi nchini nilichukua kila kitu ila sikurudisha sanduku, baada ya mwaka kuona siko active kwenye kufungua nilitumiwa ujumbe kwa njia ya email baada ya kuambiwa nilitumiwa barua kupitia anuani yangu niliyokuwa naitumia huko kunikumbushia lakini barua ilirudishwa kwao kwa kutonipata mhusika. Naona ni njia nzuri isiyoweza kuwa na mwanya wa upotevu.
 
Ni kama hivyo hapo juu swali lilivyo.

1.Je naweza kufungua Acardemic certificate nikahifadhi kwa usalama vyeti vyangu vya o-level na A-level.

2.Nasikia kuna a/c ambayo unaweza kufungua na kuhifadhia nyaraka kama vile hati za nyumba na viwanja ?

Natanguliza shukrani.

Hata mimi niliulizia hiyo kitu,nilienda CRDB nikaambiwa walikua na utaratibu huo,lakini wameacha nikaambiwa nijaribu NBC,ila sijaenda.Sijui mwenzangu umeshafanikiwa?
 
Back
Top Bottom