Ni kama hivyo hapo juu swali lilivyo.
1.Je naweza kufungua Acardemic certificate nikahifadhi kwa usalama vyeti vyangu vya o-level na A-level.
2.Nasikia kuna a/c ambayo unaweza kufungua na kuhifadhia nyaraka kama vile hati za nyumba na viwanja ?
Natanguliza shukrani.
Mkuu kama unaweza kumudu gharama za ''fireproof shelf'' nunua ujitunzie mwenyewe kwako.