Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Pesa utunziwe
na vyeti???
Ushauri
mzazi wako hasa mama,anaweza kukutunzia vizuri.
Mimi vyeti vyangu vyote anavyo Bi.mkubwa yaani ni zaidi ya bank,
mi nimebaki na kopy tuu.
Toka kwenye blanketi la utoto wa mama Wewe umeshakuwa mtu mzima sasa! Sidhani kama kuna kosa kutunziwa vyeti na benki! Huko undo kwenye usalama zaidi kuliko mama yako!