Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 619
- 1,570
Ni vizuri pia kuweka kumbukumbu sawa kwa kutunza risiti, ni kwamba mabingwa wa kihistoria Yanga awakwenda kuweka kambi uturuki wala Misri bali waliweka kambi yao pale Avic town kigamboni Dar es salaam!
Nimeamua kusema maana imenibidi nitoe ufafanuzi baada ya kuulizwa na jirani yangu kwamba hii timu imeiva ilipotoka uturuki na sio wale wanaovaa jezi nyekundu wanaocheza kama vile waliweka kambi kibaigwa.
Nimecheka sana nikamwambia hao wanaocheza kama vile walikuwa kibaigwa ndio waliweka kambi uturuki na hawa wa leo waliweka kambi Avic town hapa hapa Tanzania akapigwa na mshangao!
Sasa basi tunawekana sawa wasiojua wajue