...nawe ijaribu pia!

Last edited by a moderator:
mkuu huku shwarii tu Paw sijamwona nasikia kawekwa unyumba #notsure ..... mmhh mkuu hata kama simba meno yake hayakati lakini kucha zake je.. kula maini hakuhitaji meno...

Hebu chungulia kule kwenye jukwaa la stress la akina zomba na Ritz huenda yuko kule anaangalia nani anayatoa
Ila Paw hatishi hapa maana tuko kwenye toppic ya mwenzao Invisible hivyo ruksa kuyatoa matusi
Mhhh yahitaji moyo kuchezea sharubu za simba ndo maana tunawataja akina Roulette, Paw, Maxence Melo bila wasi wasi
#justsaying...........nawe jaribu pia
 
Last edited by a moderator:
sawa sawa........sijatembelea hili jukwaa kitambo sana, tangu AshaDii anirudishe na ile thread ya ma'photos.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom