Ask Madam Roulette and she will tell you whats going on around here...#JustSaying
Hahahaaaa kuonyesha hukukosea wakikuambia hivyo unafyatuka na likilio la juu mbaya yan unalipanua limdomooooo kwa sautiiiiiiiii hadi wote wanyamaze lol Blaki Womani miss you aisee!
wife charminglady mbona full kumkaribisha mh. Invisible bila kunipa taarifa mama
hahahahahaaaaa.....!!!. miaMi nitatafuta siku nika enjoy tu, siku nzima, nazunguka nalo tu.
Mmmmhhh?? Mkuu na we umo? Tuko wangapi? Halafu we Smile wewe mpaka unamtoa nyoka shimoni,ama kweli mganga wako kiboko!Hakuna haja ya kueleza kwanini naanzisha thread hii, lakini naamini watakaobaini wataendeleza ninacholenga.
Nimetembelea thread ya Smile hapa - https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/344249-wakunitoa-wekend-jamani.html lakini nahisi sikujitendea haki kwakuwa w/end imeisha... #JustSaying
How did I miss this golden chance?
TUKO WANGAPI? Wakati Sensa imepita juzi tu si ukawaulize makarani wa Sensa