...nawe ijaribu pia!

wewe si huwa unariiiinga
badala ya kutembelea thread za kukupa raha mjini ,wewe unavizia vizia tu kuwapa watu ban huko jukwaa la siasa..siasa bongo bwana
siasa nyerere alishindwa yupo wapi sasa?
Toka huko njoo ule raha za dunia mitaa ya mmu na chitchat mkuu?
But nitarudia offer wiki ijayo stay tuned!

hahahaha ,Mbavu zangu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asprin,

Umegundua watu wanasoma vitu juu juu? Hahahaha, hadi Smile wangu nimegundua hakuwa anasoma the whole para! #JustSaying

But, you can use any other hashtag, itarahisisha kwa wale wanaotaka kufuatilia hashtag hiyo

hahahaha mkuu mi nshagundua nikirudi ntakujuza... hata mimi nasikitika hiyo thread ya Smile hapa - wakunitoa wekend jamani sikuiona labda sababu ya mawenge.. Ngoja nivizie ijayo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom