mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,706
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!
4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)
8. Anajua unataka nini na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.
He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.