Nawaza kuoa mwanamke Bikira, labda takuwa na amani.

Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.
Usijaribu kuanzisha mada humu jf kama wewe si wa mrengo fulani wa kisiasa. Jf taratibu imeshamezwa na watu wa aina fulani. Majibu hutolewa kwa kuzingatia mtazamo wako kisiasa no matter what .

You have been warned!!
 
Sijakamilika kuwa daktari bado,lakini sitamwamini daktari yeyote atakayethibitisha uzima wako kiakili.
 
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.
Tafuta daktar wa magonjwa ya zinaa, yameharibu kichwa yako yote..
 
ITV wakishakulipa zile fidia za Trilion 5 usifanye chochote kwanza wahi Dodoma ukakarabatiwe akili haraka mno
 
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.

Hahahahahahahahahahahahah wewe huwez kuwa na akili zote KAJAMAA KAJINGA KWELI wewe unataka wa peke yako ee ?
 
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.

Una Lea ipasavyo. Unapiga mzigo ipasavyo, lakini kila siku wanaume wanalia.

Nashauri taifa liwe na mfumo wa mabikira ili mtu atakaye mbikiri ndo anakuwa mke wake. Labda ulagai utapungua kwenye mahusiano.

Ukioa mwanamke mwenye mtoto unachapiwa na mwenye mtoto n.k

Nawasilisha.

MBAVU ZANGU WE JAMAA

Baba amezaa watoto 10 kila mtoto na mama yake lakini wote tuna fanana na Baba yetu. Mama amezaa watoto 10 kila mtoto na baba yake lakini kila mtoto ana sura yake tofauti na mwingine....D.N.A ya nini sasa.

KWANI WEWE HUWAZA NINI ? ALOO NAZAN KIPAJI UNACHO HEBU JARIB KUTOKA WAKUONE
 
Bro usiwe unaleta hizi mada humu,hao watu adimu sana siku hizi...Ndo maana unaambulia mawe tu!
 
Mwenzetu yamemfika anafikisha ujumbe tu,aliyepost yuko sawa na wachangiaji mpo sawa,tumsaidie mwenzetu yamemfika
 
Back
Top Bottom