Yaani nakupa na ya kuweka ndani ya mafuta ya kujipaka. na ya kujivukiza. Yaani ukipita sehemu tu lazima mapigo yake ya moyo yaende mbiyo. Lazima akuote. Yakuweka kwenye nani hii... hiyo ni limbwata.haya poa unipe dawa nyingi ya kunywa, kuoga na ya.kuweka huku hivi
hivi vyuo vyote na shule xzote vimeshafungwa au bado vinakaribia kufungwa?
Annael tulimic story zako za uongo na ukweli
Hata hii pia umeimic.
Enheee kwan we umesahau story zake mara mdada wa kinini mara nmeachana nae mara cjui nn enheee jf banaa ukiingia hapakauk habare
ndo maana wameanza kutoa Mb 8 kwa kifurushi
Sijui kwanini tu. Tangu nitoke kijijini kuwasalimia babu zangu, sijui imekuwa wanawake wananipenda ajabu, wengine wanadiriki kunianza kabisa kutaka niwe nao. Isitoshe wengine wanamjua kabisa mpenzi wangu.
Sijui nimerongwa au nini. Yaani nikienda sehemu kukaa vitoto vyakike vitaanza kujipitisha pitisha,ukijifanya unakiita kimoja yaani kinakuja kwaadabu ya hali ya juu.
Mimi nahisi maji ya kisima cha ajabu niliyoyaoga. Halafu cha ajabu kazi nazo zimekuwa fresh tu,wale ninaowadai wananitafuta wanilipe lakini kipindi cha nyuma walikuwa wananikimbia.
Yani sijui ni baraka au balaa,hususani wasichana.
Wenzetu wanajisifu kwa maendeleo ya kiuchumi na Teknolojia wewe UNAJISIFU NA PAPUCHI, hakika unastahili kuwa CHAKULA CHA MAMBA.
Taifa liko gizani na utumwani mikonononi mwa wachache na familia zao wakineemeka, na VIJANA tunategemewa KULIKOMBOA kutoka kwa MAFEDHULI wewe UNAJISIFU NA PAPUCHI. Stop ua DEVIL MIND ASAP and come with Good strategy to RESCUE THE NATION, our LIFE, FAMILY ect.