Nawavutia na nini hawa wanawake?

Nawavutia na nini hawa wanawake?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Sijui kwanini tu. Tangu nitoke kijijini kuwasalimia babu zangu, sijui imekuwa wanawake wananipenda ajabu, wengine wanadiriki kunianza kabisa kutaka niwe nao. Isitoshe wengine wanamjua kabisa mpenzi wangu.

Sijui nimerongwa au nini. Yaani nikienda sehemu kukaa vitoto vyakike vitaanza kujipitisha pitisha,ukijifanya unakiita kimoja yaani kinakuja kwaadabu ya hali ya juu.

Mimi nahisi maji ya kisima cha ajabu niliyoyaoga. Halafu cha ajabu kazi nazo zimekuwa fresh tu,wale ninaowadai wananitafuta wanilipe lakini kipindi cha nyuma walikuwa wananikimbia.

Yani sijui ni baraka au balaa,hususani wasichana.
 
We sema unatoa ushuhuda wa sangoma wa kwa babu, dawa Imefanya kazi, ya mvuto inavuta vyote had majini yatakuja.
 
"Ukizaliwa maskini si kosa lako, ukifa maskini ni kosa lako" kwa mujibu wa signature yako "mtoa mada"
 
Nilisimuliwa hicho kisima ilikuwa kaburi ya bibi yake na babu yake, babu yake, babu yake, babu yangu.
Alipozikwa baada ya miezi 6 kikatokea hicho kisima.
 
 
Last edited by a moderator:
Yaani sasa hivi kunajamaa kanipigia simu anataka anipatie pesa nitamrudishia baada ya mwaka mmoja.
Aise sijui nizichukue. Ila jamaa anamihela!!
 
Yaani sasa hivi kunajamaa kanipigia simu anataka anipatie pesa nitamrudishia baada ya mwaka mmoja.
Aise sijui nizichukue. Ila jamaa anamihela!!

Wewe ni he/she au shemale??
 
Back
Top Bottom