khayanda
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 247
- 25
Watanzania tuandamane kuwaunga mkono madaktari, peke yao hawawezi, kwa sababu jamaa ni viziwi hat hawaambiliki, wao wanatibiwa Appolo- India, tunaoumia ni sisi wananchi walala hoi. Tuwasaidie madaktari kugoma, tutakaokufa ni sisi.
Pinda mwehu tu ameacha kuwaita madaktari anaita waandishi wa habari kwani wao ndiyo wamegoma, angeenda TBC na kutangaza kuomba kukutana au kutoa wito wa kukutana na madaktari, au atembelee muhimbili awone si wapo kwenye kikao?? Huyu mtoto wa mkulima ameshiba sasa.