Nawatakia Summer njema

Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
298
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia summer njema wadau wote walioko ughaibuni. Hiki ni kipindi sasa cha kufurahia hali ya hewa kama uko TZ vile. Ukipita huko mitaani sasa barbecue kwa sana. Parks na open spaces zimechafuka kwa sasa wazungu wa kike na kiume wako wanajianika juani.
Kwa wale watakaokuwa wanasafiri kwenda vacation sehemu mbalimbali ninawatakia safari na vacation njema.
 
summer inabore kuna joto mno hata la dar lina nafuu. Niko mbioni kuja Dar kula upepo mwanana.
 
summer inabore kuna joto mno hata la dar lina nafuu. Niko mbioni kuja Dar kula upepo mwanana.

Pole Pretty,
Ni kweli sasa ughaibuni joto limepanda kupita kawaida. Sasa watu wanalala madirisha wazi na huko nje jua ni kali hamna mfano. Kama mtu alikuwa miji kama Moscow, Oslo etc mwezi wa kwanza au wa pili hawezi kuamini hali ya hewa iliyoko huko kwa sasa.
 
Back
Top Bottom