Nawatafuta wakusanya madeni - debt collector / brokers

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,119
Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa baadhi tu wanasumbua kwa kukiuka mkataba na kuchukua fedha za kazi na kukwepa kulipa, broker anaweza kuwa kampuni au mtu binafsi tafadhali yeyote anayeweza saidia ani - PM
 
Ok mkuu, Uwe makini sana unapotafuta hao maagent kwa kuangalia uzoefu wao na wakwambie kazi walizofanya ukawatrace na kuona umaninifu wao.kwa uzoefu wangu mkuu wengine vimeo sana na wengine matapeli.unaweza jikuta wanakuzunguka na madeni yanakuwa sugu kabisa.
 
Wakuu salama ? naomba msaada wa haraka kuwapata licensed brokers au madalali wenye leseni maalum kwa kukusanya madeni kwa kulipwa kamishini, sisi tuko Dar tunfanya kazi na watu kadhaa baadhi tu wanasumbua kwa kukiuka mkataba na kuchukua fedha za kazi na kukwepa kulipa, broker anaweza kuwa kampuni au mtu binafsi tafadhali yeyote anayeweza saidia ani - PM

Waone Fantastic General Enterprises Ltd ni mabingwa wa kudai madeni. Website: http://fantastic-enterprises.com
 
Back
Top Bottom