Nawasilisha picha hii JF

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933


Wenye kutufafanulia picha iko jukwaani tayari, kazi kwenu. Jamaa kaanza mbali kujenga mazingira ya Ukulu ati, alijitahidi kuegemea wanakoogopa watu kutia mguu.
 
Hawezi kuwa Cardinal Rugambwa. Cardinal Rugambwa amekufa zamani,kabla JK hajaingia Ikulu.
 
au ndo kisa aliemrithh Rugambwa akasema JK kachaguliwa na Mungu?
 
Ni kitu gani kinaonyesha hapo ni ikulu?
 
Mimi nafikiri hapa +walikuwa VIP Lounge ya DIA ya wakati huo mwishoni mwa miaka ya 80 au mwanzoni mwa miaka ya 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…