Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

wanaumewaisaka

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
366
178
Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
 
Achama na kutisha watu hapa. Yaani wasiwasi haki zao? Mbona mnajenga miradi ambayo haijaidhinishwa na bunge? Mnanunua ndege ambazo hazijaidhinishwa na bunge? Pesa za kuhamisha makao makuu kwenda dodoma zinatoka wapi?Kama mnataka kutumia nguvu za kijeshi Tumieni. Lakini walimu wamechoka kuwabembelezeni. Enough is enough
 
Sawa ila cha moto mtakiona!!MI SIMO
 
Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!

Kuna mhenga alisema "Teaching is an enormously difficult job that looks easy" sikumbuki ni nani
 
Wanataka kugoma kufanya nini?

Afu migomo huwa ni sawa na madawa au kamari ukishaanza mmoja unazalisha mingine kibao..yangu macho keshokutwa tusiposikia madaktari basi tripu hii tutasikia hadi polisi wamegoma
 
Back
Top Bottom