Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
Wagome watumbuliwe tuajiriwe wengine tupo wengi sana huku mtaani tena wenye morali ya kazi!
 
mleta mada ulifoji vyeti,so we hata hicho kidogo unashukuru sana coz hukutoa jasho kupata vyeti
 
HAKUNA MWALIMU WA KUGOMA! WAGOMEE NINI WAKATI MSHAHARA TAREHE 20? ATAGOMA MKB NA RAFIKI ZAKE!
 
Mhuuuu hawakumbuki kauli ya mkulu sjaribiwi na stojariwa yang masikio walim kumbukeni kuna watu hawaja ajiliwa mika miwl sasa wamekaaa tu nyumbani ningependa kama mungebuni njia ingne,hujuw lengo la mkuu kaya kutoajili itakula kwenu.
 
mitaa yetu HAWAGOMI HATA WANGESHIKIWA KALASHINKOV WAPO BIZE KUKUSANYA PESA YA MLINZI,MAJI NA UMEME TOKA KWA WANAFUNZI!
 
Wakati mwingine uwe unasikiliza vizuri kile kinachosemwa na viongozi wa CWT.Hakuna kiongozi aliyesema kuwa mgomo unaanza,bali walisema iwapo selikali haitajibu madai,watatangaza mgogoro na serikali.
 
Wakati mwingine uwe unasikiliza vizuri kile kinachosemwa na viongozi wa CWT.Hakuna kiongozi aliyesema kuwa mgomo unaanza,bali walisema iwapo selikali haitajibu madai,watatangaza mgogoro na serikali.
Hata hilo la mgogoro leahirishwa
 
Back
Top Bottom