Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

tatizo la CWT hawana stategic plan kabisa kifupi hii chama ni kama mtu zezeta haijawahi itisha mgomo na ukatokea huo mgomo kwa uelewa wangu!! hiki chama ni bora kabisa kisingekuwepo hapa duniani labda kiwepo huko kuzimu maana ni bure kabisa
 
mi sigomi dadeq...tena mgomo wenyewe utangazwe na CWT?....ntafundisha vpind vyote sku hiyo
 
Kwenye mapambano yangu ya maisha najitahidi niweke akiba ya kutosha ili hata nikifa leo kijana wangu asijekutia mguu shule hizi za kidumu mkononi na sec za kata maana kama uyu muoga ndio mwalimu wake mbona hasira za serikali zitaishia kwa kumbutua kijana wangu na kumlisha matango pori inasikitisha kuona walimu wengi hawajui haki zao.
Kwenye mapambano yangu ya maisha najitahidi niweke akiba ya kutosha ili hata nikifa leo kijana wangu asijekutia mguu shule hizi za kidumu mkononi na sec za kata maana kama uyu muoga ndio mwalimu wake mbona hasira za serikali zitaishia kwa kumbutua kijana wangu na kumlisha matango pori inasikitisha kuona walimu wengi hawajui haki zao.
Ni kweli tena kama bado hujaanza hilo zoezi la akiba lianze sasa mapemaa
 
Wewe wacha zako hizo
Wana experience?Msije mkatuletea walimu aina ya Daudi kumfundisha watoto wetu. Qualified and experienced teachers ndo wanastahili; ama muwalipe au wagome tu
So una washauri wagome cyo
 
Et tugome ?awap mimi sigomi.nagoma kisha viongozi wanapizwa juu kwa juu.mwalim narud class naanzia nlipoishia nyambaaaafu.

Kama wanataka tuandamane nchi nzima

Na kuwe na strategic demand zilizoshiba,na sio kubabaishana na kina mkoba
 
Kuna mgomo kweli? Au umekuja na hizi porojo ili tusahau mambo ya bwana DAUDI ALBERT BASHITE! Mimi siwezi sahau mpaka atumbuliwe.
 
Kinachotakiwa kwanza walimu wasiwe na imani na kiongozi mkuu wa CWT na wenzake wajuu..

Then ubadikishwe mfumo wa kuendesha chama au chama kifutwe..

Baadae walimu wagome na wawatañgazie wanafunzi likizo ya miezi sita..

Serkali ndio iisome namba!!

Walimu tangazeni kufunga shule kwa miezi 6 au hadi mtakapo pandishiwa mishahara na kutatuliwa matatizo yenu...
 
Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
Acha kupotosha umma, kama kweli wewe ni mwalimu basi Taifa lina hasara, taarifa kuwa kesho walimu wanagoma umezitoa wapi, mwalimu hujui tofauti ya mgogoro na mgomo?

Una haki ya kuitwa mwalimu.
 
Mgomo na njaa wapi na wapi? Mgomo na vyeti vya ki-bashite hauwezekani! Mgomo na viongozi wa cwt haupo! Mgomo na vitisho vya mwajiri na ukandamizwaji wa kisaikolojia ni ndoto! HAKUNA NA WALA HAUTOKUWEPO MGOMO WA WALIMU.
 
Back
Top Bottom