Tunazidi kukuombea faraja na utulivu kwenye hiki kipindi kigumu kwako na familia.
Tupo pamoja ingawa wengine hatuwezi kujiexpose lakini fahamu tupo pamoja nawe ktk hali yoyote ile.
Hi mom,siwezi kupigwa ban na sijawahi hata kuonywa naheshimu mawazo ya watu na mtu akinikera na-report abuse.Paw, namuombea my son uporoto usimpige ban walau kwa miezi 6 manake yuko vulnerable na ana stress. Akipata maudhi anaweza kushindwa kujizuia. Natanguliza shukrani zake, zangu mama yake wa kambo na za mkewe husninyo. Tunashukuru kwa ushirikiano
Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.
Kumbe wenzetu mpo familia nzima! Hatahivyo msijali. Nawapa pole sana nyote, kwa yaliyowakuta na kwa kipindi chote kigumu.Paw, namuombea my son uporoto usimpige ban walau kwa miezi 6 manake yuko vulnerable na ana stress. Akipata maudhi anaweza kushindwa kujizuia. Natanguliza shukrani zake, zangu mama yake wa kambo na za mkewe husninyo. Tunashukuru kwa ushirikiano
Usijali, pole zako mie nazibeba nzima nzima na nakuahidi kuzifikisha kabla jua halijazama.Dah! nimepata habari late sana jibaba, pole sana mpiganaji, nimeitafuta sredi sikuiona kwahiyo acha niweke pole yangu hapa hapa tu.
Usijali, pole zako mie nazibeba nzima nzima na nakuahidi kuzifikisha kabla jua halijazama.
Na haya ndio madhara ya kuingia jf kwa kutegemea laptop ya jirani, ona sasa jirani kasafiri na laptop yake na wewe umepitwa. Shukuru mungu amerudi jana. Nilikuwakilisha vema kabisa!
Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.