NAWASHANGAA Sana CHADEMA..!!

NAWASHANGAA Sana CHADEMA..!!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Jana tumeketi kikao Cha wote wenye miji hapa mtaani KWETU kujadili masuala yetu hasa kuboresha Ulinzi Wa mtaa, bila kutazamiwa tulijukuta tumemezwa Na agenda ambayo haikuwa rasmi KWETU juu ya Tamko la Mhe Mbowe . chair wa CDM kuhusu kauli yao ya kuanza michakato ya Kuunda vikosi vya kujilinda.

Kilichotushangaza wamestuka too late, wamekumbuka shuka mchana. Mbona mambo HII iko wazi Kwa kila Mtu? Hakuna raia Wa Nchi HII anayelindwa Na polisi isipokuwa wenyenazo wachache. Takriban miaka miwili hapa mtaani KWETU haikuwa ikipita wiki pasipo mmoja wetu kuvamiwa Na majambazi. Wanakwiba Na kutesa watu, mnapiga cm polisi hadi mnachoka, Baadae wadude wakishajiondokea ndio polisi taratiibu wanakuja. Basi hapo kero moja Kwa moja utasumbuliwa, maelezo, kuripoti polisi, zitakutoka Fedha Za mafuta, daftari, kalamu, photocopy utajuta kuibiwa, mateso ya kuibiwa ni nafuu kuliko usumbufu wa polisi Na hawafanyi lolote.. Tukastuka, tukakubaliana kuunda Jeshi la kutulinda. Takriban masai Kama 12 Na mchanganyiko wa wengine 6 hivi, tukawaajiri Kwa mikataba Na kuwalipa wenyewe. At least matukio hayo sasa ni History KWETU. Kuna mwenzetu alijenga Kabanda ka KUKU ndio tumefanya selo Kwa atayekamatwa. Tukimpata mwizi iwe mchana au usiku hatumpeleki polisi, tunambana kirafiki atutajie Na majizi mengine Na tunajikusanyia vyote walivyokwiba Na kuwarudishia wenyewe kisha hao Wezi tunawageuza wawe walinzi chini ya walinzi. Tumefanikiwa sana kwa hili.

Hao CDM wangepaswa kuwa wameshaunda vikosi vyao siku nyingi vya kujilinda Wala SIO kosa kisheria, kuna full security, KK security, Knight Support , greenguard n.k vyote hivi ni vikosi vya kujilinda wenyewe , polisi walishajichokea zamani. CCM wana vikosi vitatu, greenguard Yao, polisi Na Jeshi, CDM wao wana watu Na wanauliwa kila siku maksudi wapo tu hawastuki.
 
Ujumbe umefika mkuu,lakini pia bado CDM bado haijachelewa sana....ni kujipanga tu
 
mhh huku tunapoelekea ni kubaya zaidi maana Police ni kwa baazi ya watu tuu wenye nazo na ccm, wasionazo kazi kwao.
Ngoja niwape mfano mmoja hai ambao niliushuhudia:
Hapa jirani naninaoishi kuna dada aligombana tuu na mumewe kukawa na fujo flani hivi ndani kwao hatuja maliza lisaa tukashtukia defender ya maaskari inapiga mahoni getini nahatujui nani kaita police basi kufungua geti askari wakaingia kama jeshi hivi wakamshika yule mume wa huyo dada chupikaptula na kichapo chakutosha wakampeleka kituoni walivyoondoka tuu yule dada akaanza kujitapa "hee hawezi kunichezea mimi mama yangu yupo ccm baana nimemtumia msg tuu kazi kwisha" ukizingatia mamayake yupo mkoani ni mfanyakazi tuu wa ccm sijui ni secretary au nanani akiwa huhuko amri ilitolewa na police waliitii wakati watu hapahapa unavamiwa ukiomba msaada police uanaambiwa kituoni hakuna askari kweli inauma sana, mtoa mada umeongea ukweli mtupu police wa Tz wapo kwaaji ya ccm tuu
 
Jana tumeketi kikao Cha wote wenye miji hapa mtaani KWETU kujadili masuala yetu hasa kuboresha Ulinzi Wa mtaa, bila kutazamiwa tulijukuta tumemezwa Na agenda ambayo haikuwa rasmi KWETU juu ya Tamko la Mhe Mbowe . chair wa CDM kuhusu kauli yao ya kuanza michakato ya Kuunda vikosi vya kujilinda.

Kilichotushangaza wamestuka too late, wamekumbuka shuka mchana. Mbona mambo HII iko wazi Kwa kila Mtu? Hakuna raia Wa Nchi HII anayelindwa Na polisi isipokuwa wenyenazo wachache. Takriban miaka miwili hapa mtaani KWETU haikuwa ikipita wiki pasipo mmoja wetu kuvamiwa Na majambazi. Wanakwiba Na kutesa watu, mnapiga cm polisi hadi mnachoka, Baadae wadude wakishajiondokea ndio polisi taratiibu wanakuja. Basi hapo kero moja Kwa moja utasumbuliwa, maelezo, kuripoti polisi, zitakutoka Fedha Za mafuta, daftari, kalamu, photocopy utajuta kuibiwa, mateso ya kuibiwa ni nafuu kuliko usumbufu wa polisi Na hawafanyi lolote.. Tukastuka, tukakubaliana kuunda Jeshi la kutulinda. Takriban masai Kama 12 Na mchanganyiko wa wengine 6 hivi, tukawaajiri Kwa mikataba Na kuwalipa wenyewe. At least matukio hayo sasa ni History KWETU. Kuna mwenzetu alijenga Kabanda ka KUKU ndio tumefanya selo Kwa atayekamatwa. Tukimpata mwizi iwe mchana au usiku hatumpeleki polisi, tunambana kirafiki atutajie Na majizi mengine Na tunajikusanyia vyote walivyokwiba Na kuwarudishia wenyewe kisha hao Wezi tunawageuza wawe walinzi chini ya walinzi. Tumefanikiwa sana kwa hili.

Hao CDM wangepaswa kuwa wameshaunda vikosi vyao siku nyingi vya kujilinda Wala SIO kosa kisheria, kuna full security, KK security, Knight Support , greenguard n.k vyote hivi ni vikosi vya kujilinda wenyewe , polisi walishajichokea zamani. CCM wana vikosi vitatu, greenguard Yao, polisi Na Jeshi, CDM wao wana watu Na wanauliwa kila siku maksudi wapo tu hawastuki.

Shangaa na hawa pia
attachment.php
 
Napiga jaramba!lazima niwe miongoni mwa 'Red brigade'!wao wana jeshi,polisi,green guards nk!Lakini Chadema ina watu tena wengi kuliko wanajeshi wao.
 
Ni jambo la wazi lakini policcm ni wagumu kuelewa kwasababu wanatekeleza agizo la bosi wao. Suala la kujilinda ni jukumu la kila mtu, kila mtaa kila kijiji, kila kikundi. Na kufanya mazoezi ya ukakamavu ni jambo la kawaida. Hata mgambo hawavalishwi tu uniform...
 
jitahidi na wewe wakakuajili huko kwenye kikosi chao.
 
Jana tumeketi kikao Cha wote wenye miji hapa mtaani KWETU kujadili masuala yetu hasa kuboresha Ulinzi Wa mtaa, bila kutazamiwa tulijukuta tumemezwa Na agenda ambayo haikuwa rasmi KWETU juu ya Tamko la Mhe Mbowe . chair wa CDM kuhusu kauli yao ya kuanza michakato ya Kuunda vikosi vya kujilinda.

Kilichotushangaza wamestuka too late, wamekumbuka shuka mchana. Mbona mambo HII iko wazi Kwa kila Mtu? Hakuna raia Wa Nchi HII anayelindwa Na polisi isipokuwa wenyenazo wachache. Takriban miaka miwili hapa mtaani KWETU haikuwa ikipita wiki pasipo mmoja wetu kuvamiwa Na majambazi. Wanakwiba Na kutesa watu, mnapiga cm polisi hadi mnachoka, Baadae wadude wakishajiondokea ndio polisi taratiibu wanakuja. Basi hapo kero moja Kwa moja utasumbuliwa, maelezo, kuripoti polisi, zitakutoka Fedha Za mafuta, daftari, kalamu, photocopy utajuta kuibiwa, mateso ya kuibiwa ni nafuu kuliko usumbufu wa polisi Na hawafanyi lolote.. Tukastuka, tukakubaliana kuunda Jeshi la kutulinda. Takriban masai Kama 12 Na mchanganyiko wa wengine 6 hivi, tukawaajiri Kwa mikataba Na kuwalipa wenyewe. At least matukio hayo sasa ni History KWETU. Kuna mwenzetu alijenga Kabanda ka KUKU ndio tumefanya selo Kwa atayekamatwa. Tukimpata mwizi iwe mchana au usiku hatumpeleki polisi, tunambana kirafiki atutajie Na majizi mengine Na tunajikusanyia vyote walivyokwiba Na kuwarudishia wenyewe kisha hao Wezi tunawageuza wawe walinzi chini ya walinzi. Tumefanikiwa sana kwa hili.

Hao CDM wangepaswa kuwa wameshaunda vikosi vyao siku nyingi vya kujilinda Wala SIO kosa kisheria, kuna full security, KK security, Knight Support , greenguard n.k vyote hivi ni vikosi vya kujilinda wenyewe , polisi walishajichokea zamani. CCM wana vikosi vitatu, greenguard Yao, polisi Na Jeshi, CDM wao wana watu Na wanauliwa kila siku maksudi wapo tu hawastuki.

Labda umueleze JK na huyu demu wa polisi labda ndiyo wameingia nchini kwa mara ya kwanza kutoka majuu!!
 
"kikao Cha wote wenye miji hapa mtaani KWETU"

Tofauti na hicho unachokiita kikao cha wote wenye miji.....; CDM ni taasisi ambayo kwa kanuni na taratibu za kitaasisi ni lazima kuweka mambo kwenye rekodi, kurasimisha mambo mbali mbali ili kuweka kumbukumbu sahihi; Ndio maana bungeni kuna kitu kinaitwa HANSARD, kwa hiyo alichokisema Kamanda Mbowe ni kuweka kumbukumbu sahihi. kuna msemo kwamba "some issues are better understood when a formal explanation is made"
 
Back
Top Bottom