usiulize awa ni kinanani ni wale NYANI wasiona KUNDULE.Shangaa na hawa pia![]()
usiulize awa ni kinanani ni wale NYANI wasiona KUNDULE.Shangaa na hawa pia![]()
duh, mamaa wamekakamaa kweli kama Banyamulenge!!! Kikwete ha hawa ni kina nani? tunaomba jibu kabla ya kurusha madongo kwa CDM.
Shangaa na hawa pia[/QUOwa![]()
kyeleeeuuwiiiiiiiiii! wameandaliwa kurusha mabomu ee, ccm aiibuu! kweli hata siyaamini macho yangu.
Hivi ni kwanini magamba wanaigopa CDM hivyo?
HATA Mimi nimeanza mkakati wa kujilinda mwenyewe, na sharia za kumiliki silaha zipo wazi lazima tuzitumie. tena kwa nchi hii ambayo askari wana uroho wa pesa, wakiona kitu hela wewe sema chochote watakufanyia. UKISHANUNUA silaha yako mzinga au Tarmy au pale kwa wachina, haichukui hata wiki kukamilisha document za kumiliki kama facilitation money ipo. kama huna hela utahagaika miezi nane kila siku kila leo, mara unaambiwa kikao flan hakijakaa, mara koram haijatimia, mara makao makuu ya wilaya ya kipolisi hii yamehamia sehem flam, sababu mia, ila kama kitu sent kidogo zipo, vibali unavipata faster ukiwa na kijisimu tu. this is TZ. SHERIA ZINAKUTAKA usimiliki silaha za aina moja zaidi ya moja, so unajichanganyia ma ak hapo na full cartilages na walinzi wako watatu wanne hivi..umeeleka mkuu,sina cha kuongeza hata sisi vijana tulioko mtaani tunahitaji mafunzo kwa ajili ya kujilinda.