Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Kupanuka mawazo ni jambo jema sana... mtandao ni mtandao tu. Ni sawa na maji ya kunywa, kuna Uh*i, H*ll, Masaf*, K*limanjaro... yote ni maji tu.
 
Yeap mkuu now nipo ttcl wakizungua nahamia pengine tu
 
Duh kumbe gb hewa mkuu
Eneo ambalo npo halotel internet ipo na kasi sana ila ttcl ni mwendo wa kobe

Haya mambo ya internet yanategemeana na maeneo.na kingine watu wengi wanafkir kila eneo lina 3g au 4g kitu ambacho sio sawa kwa mitandao yote
 
Hiyo kweli mkuu mitandao menigine huwa haikamati kabisa baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom