Nawapenda wote

Nawapenda wote

nikiingiaga jf somtime huwa nashindwa hata kumaliza kazi zangu. Mfano jana kuna jamaa alikuwa analinganisha dhahabu na mkonge,alinitoa povu,ckupata hata kumalizia kazi zangu nilizozianza.

leo umemaliza?
 
We love you so much pia sweety! Stay blessed!
Ila kwa usalama wako mwenyewe nakuomba ukamtembelee ODM na ukaguliwe. lol
 
We love you so much pia sweety! Stay blessed!
Ila kwa usalama wako mwenyewe nakuomba ukamtembelee ODM na ukaguliwe. lol

thank you my love.
I love you so very much.
Hehehehe babu muongo kila siku yeye ni come this way nikienda that way hanikagui sasa sijui nifanyeje lol
 
chu chu chu,poleh mamie usijali wala u will be just fine without him,unalia hapo ama?
Nagaragara huku nalia, husikii sauti?.... Najuuuuta kumpenda nitonye, akija Bishanga nitauweka wapi uso wangu jamani?

Wifi thanks kwa kutupenda wote, tunakupenda pia sana... Mungu azidi kukubariki huko uliko, usisahau kuniletea ile zawadi yangu nilokuagiza...
 
ndo ya mambo ya usitukane wakunga hayo..,usijali mamie ntakuletea dhawadi wifi yangu na lundo la hendkerchief umsahau kabisa huyuu.Nilikua sijalala namkamata huyu mwizi mpaka uje sasa nitalala kwa amani.
Mimi penda sana wewe jamani
 
We binti unatupenda wote hata sisi vibabu vikongwe? Hebu come this way kwa ukaguzi na kugewa dawa ya usingizi....

Nataka kujua tu huo ukaguzi babu utaisha lini au ndiyo una concept ya going concern?
 
nikiingiaga jf somtime huwa nashindwa hata kumaliza kazi zangu. Mfano jana kuna jamaa alikuwa analinganisha dhahabu na mkonge,alinitoa povu,ckupata hata kumalizia kazi zangu nilizozianza.

wewe utakuwa mvivu mkuu. jf kupendana unaona hatari? mwenzio nampenda kweli kweli kabakabana. wewe je?
 
Tunakupenda pia, na Mungu akubariki!
Nakusalimu, sijakuona toka siku ile lunch igeuke dinner....

Bado nazunguka na zawadi yako mkononi, jitahidi uje uichukue manake mkono ukichoka ntaidondosha!..
 
KK. I am amused. You are the first to like a bum like me. But anyway THANK YOU VURUMAI.
 
Nakusalimu, sijakuona toka siku ile lunch igeuke dinner....

Bado nazunguka na zawadi yako mkononi, jitahidi uje uichukue manake mkono ukichoka ntaidondosha!..

wifi mbona sikuelewi,una dozen ama?
 
Back
Top Bottom