Nawapenda wote

Nawapenda wote

Usimwambie wifi yako halafu usisahau kuutegesha ule mlango nisipate shida kuufungua ili wifi yako asisikie

yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari
 
ni hilo tu mkuu. najua utakuwa na ratiba ngumu lakini naomba uipe kipaumbele. ntashukuru sana.

well i will try,coz ni kweli niko tight! Na shemeji yako ananikeep busy pia
 
yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari

Nimeshakuona unataka kuharibu hii ndoa hujui kama leo nitachelewa kutoka kazini sitaki nimsumbue wifi yako embu nitakuletea icecream sawa
 
Nimeshakuona unataka kuharibu hii ndoa hujui kama leo nitachelewa kutoka kazini sitaki nimsumbue wifi yako embu nitakuletea icecream sawa

mtumee,bado hujatoka kazini?ndo kazi unazofanya nini
 
Kausha wewe!! acha kujipendekeza. We unayejua hizo maana nyingi embu ziseme ......

Nimekuelewa mkuu ila hapo kwenye maana nyingi sijui kitu kabisa maana sikubahatika kupita kwenye mfumo rasmi wa elim.
 
Back
Top Bottom