nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Nitonye na kabakabana..... Hebu laleni mnanisumbua na makelele yenu.
Wewe endelea kuangalia saa ukutani ako kabinti hakarudi mda huu unalo leo..lol
Nitonye na kabakabana..... Hebu laleni mnanisumbua na makelele yenu.
Dah nimekukubali ndio maana unayumba yumba ka mnazi
Kbnkbn kuna time hua nahisi kama ww ni politician kutokana na majibu yako, sijui unalizungumziaje hili?
Siyo stress mkuu nimeonja tuglass tumoja twa the spirit of the nation naona ndio kananipeleka peleka hapa.
hilo nitalizungumzia kesho
bado naendelea nazo tatizo umechanganya na spirit of the nation zinakupeleka pabaya
tatizo siyo kuchanganya ni kwamba nimepiga mixer halafu sijala!! ndio mana wenge jingi.embu ngoja nilale kesho nahisi nitaamka freshi. gud nyt kabakabana. ninakupenda pia. usimaind tchao!
Dah nimekukubali ndio maana unayumba yumba ka mnazi
Dah! ebwana kweli ngoja niongeze tungine tumoja nipate speed ya kulalia.ebwana kesho mkuu.
usimaind ndo nini?
Kwa kikwetu inamaanisha good night.
Vijana wanasema haina kweree
Vijana wanasema haina kweree
na wazee wanasemaje?
Wazee wanasema 'haina mbaya'
kikwenu ndo kipi?
bgyrd btivxey vb nreshcfr nkhnmj bv cfhhtrfihk.dah! nimeamini kweli nasikia usingizi. ntakujibu kesho. aaaaaaa(miyayo)
Tunakupenda pia, na Mungu akubariki!
tunakupenda pia. Mungu aendelee kukubariki na kukuongoza.