kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Nimetokea kuvutiwa na hawa watu sana,
Ukiwa nao kwenye mahusiano unakuwa umepata chuma cha ukweli, wana uzoefu mkubwa wa mahusiano hivyo wanapokuwa kwenye mahusiano hisia haziwaendeshi kama wale watoto..
Hawaombi ombi vitu visivyo vya msingi, wanatoa ushauri mzuri sana na ni waelewa pia, wanajua kujitegemea na kutunza wapenzi wao, sio wagomvi wengi wao ni watulivu na wapole, huduma wanatoa bila hiyana, na ukiwatendea wema hakika utawafurahia sana.
Kiufupi mi nawakubali sana, na naamini miaka kadhaa ijayo watakuwa kwenye chati sana na wataongoza kwa kuolewa kuliko hivi visichana vidogo vidogo.
Na wakiendelea kuwa hivi NADHANI ITAPENDEZA...