Nawapenda single mothers

Single mother hawaaminiki hawafadhiriki!

Leo kakufurahisha mpaka uzi kaanzishiwa, basi tunakupa muda utuletee mrejesho
 
"A good entrepreneur always looks for a gap in a society and sets ahead to fulfill the society's needs.."







Wakuelewa wataelewa..
 
Aisee hamna watu wasumbufu kama hawa viumbe wengi wana stress za kuachwa.
 
Unaona wapole maana hujaingia vizuri kwenye 18, ila jiulize kama ni wapole na wenye akili na ushauri mzuri wangekuwa single mother's?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom