Nawapenda sana!!!

Nawapenda sana!!!

feis buku

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
2,341
Reaction score
677
habari ya asubuhi! napendaa kuchukua fursa hii kuwatakieni weekend njema, leo kiukweli wekend imeanza fresh,kwani ni mwisho wa mwezi ,mvua za kijiubaridi kizuuuri(kwa wakazi wa dsm hususan,achiliambali foleni na matope) tutakutana maeneo flani jion hope so! mkue na kazi njema wana jf na mapumziko mema! NAWAPENDA WOOOTE!
 
me luv u 2_feis buku,...wish u all da best
 
habari ya asubuhi! napendaa kuchukua fursa hii kuwatakieni weekend njema, leo kiukweli wekend imeanza fresh,kwani ni mwisho wa mwezi ,mvua za kijiubaridi kizuuuri(kwa wakazi wa dsm hususan,achiliambali foleni na matope) tutakutana maeneo flani jion hope so! mkue na kazi njema wana jf na mapumziko mema! NAWAPENDA WOOOTE!

Thanxs Feis buku......I love u you too, have a nice weekend..
 
habari ya asubuhi! napendaa kuchukua fursa hii kuwatakieni weekend njema, leo kiukweli wekend imeanza fresh,kwani ni mwisho wa mwezi ,mvua za kijiubaridi kizuuuri(kwa wakazi wa dsm hususan,achiliambali foleni na matope) tutakutana maeneo flani jion hope so! mkue na kazi njema wana jf na mapumziko mema! NAWAPENDA WOOOTE!
Nakupenda pia feis, na yangu imeanza vizuri na mshukuru mungu,have nice time dia.
 
Much love............ kunywa ila usilewe papasa ila usitomase,,,, lala ila usisinzie....... make ua wekend great
 
tehe tehe, Thanx God its Friday. Happy weekend fb @all, tukutane pare pareeeeee
 
Nakupenda pia feis, na yangu imeanza vizuri na mshukuru mungu,have nice time dia.
nipe taarifa @cantalisia imeanzaje vizuri shost au umeahidiwa kivits! kua makini na izi ahadi za hawa wavaa suruali!!
 
tehe tehe, Thanx God its Friday. Happy weekend fb @all, tukutane pare pareeeeee
be baled @Bombu!! pale pa siku zote panauzwa kitizzzzzzzzz(kitimoto) wengine humu hawatumi (wasiojua utamu usiwaambie utamu!)
 
Back
Top Bottom