rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.
Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..
Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...
sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..
Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..
Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..
Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...
Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..