Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,248
- 36,306
Aisee safi sanaaa, sasa inatakiwa kila siku uangalie soko linaendaje kwenye hiyo. angalie bidding and offering ipoje. Itakupa picha ya bei ambayo itakuwa fair kulingana na utavosoma soko. Ila so far stakes are higher
Thanks, kuanzia sasa nafatilia kama mlo wa mtoto mdogo.