Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,600
Aisee acheni tu zile hisa za DSE zilizokuwa zinauzwa 500 mwezi uliopita kuanzia wiki hii zimeanza ku trade kwenye secondary market kwa bei ya mpaka 1100. Yaani roho inaniuma sana maana hii opportunity nilikuwa naiona kabisa kwamba hii equity ya DSE ilikuwa ni hot cake sema sikuwa na pesa.
Acheni kabisa jamani Umasikini ni laana and knowledge is power. Just imagine after mwezi mmoja tu unapata return ya 100%. Is this not madness? Nimeona mtu anauza share zake 50000 kwa bei ya 1000 na yeye alinunua kwa 500 yaani ametengeneza 25,000,000 profit per month.
Damn... Fvck poverty Fvck poverty... kweli kuwa tajiri ni akili yako na sio kufanya kazi mpaka mikono itoke sugu. Wakulima endeleeni kupalilia mazao ila kuna mpuuzi nimemuona katengeneza 25M ndani ya mwezi mmoja .. mamamamaaaaeee