Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Aisee toka NMB inidondoshe nilitulia kwanza ila hii naiona kama fursa wallah. Ngoja nipige mahesabu yangu nijipange upya.
NMB ilikudondosha vip? unaweza ku share experience yako hapa. Sasa ukisema ilikudondosha bila maelezo hautaeleweka
 
DSE wao wenyewe ni kampuni na ndo walifanya IPO ya kampuni yao. Kwa hiyo hizo hisa ni za DSE. Umenisoma hapo? Hata sahiv embu jaribu kuingia kwenye web ya DSE halafu nenda kwenye market report utaiona
Poa poa....so hata habari za ipo ulizipata humo sio ??

Hizi issue bana sumtym kama kamari kuna wakati mwingine unanunua zinakua stagnant hata ziki appreciate sio kama hii yako.....huku possibilities zipo cz soko bado liko very young.
 
Hivi nikitaka kununua hisa nafuata hatua gani?!! Maana hii mijamaa nimeiuliza kwa email ikanikaushia.
Ila usipate shida.. kuna watu wanaitwa brokers. Tafuta wale wadogo ukienda watakuelewesha vizuri. Nenda posta wapo kibao. au google utapata adress zao
 
Nikisikia mambo ya Hisa inanikumbusha NICOL, hadi leo sijui hatima yake......INANIUMA SANA.
Inatokea sana hiyo mkuu.. lakini siku ingine kabla ya kununua hisa tenga mda wa kusoma zile prospectus na ukazielewa. Zinakuwaga na information zote sema watu wanazi ignore na wanaenda kichwa kichwa.. mwisho wa siku ndo hivo
 
Mbona zilitangazwa public sana mkuu.. yaani karibu mwezi mzima.

Like u said wakat mwingine tunapitwa na mambo mazuri sabab ya woga, hela tumewekeza kwingine plus kuchukulia mambo ki rahisi.

Na ufahamu na hzo issue nimepiga ma chuo (investment analysis & portfolio mgt). I understand how its like to miss a shot.

Kuna zingine wana trade over the counter....wanapiga sanaa.
 
Mbona mkuu una potential hivo.. halafu unaachia opportunity inakupita kirahisi hivo? Halafu embu nieleweshe vizuri za over the couter inakuwaje
 
Mbona mkuu una potential hivo.. halafu unaachia opportunity inakupita kirahisi hivo? Halafu embu nieleweshe vizuri za over the couter inakuwaje
Over the counter ni ile wana trade stocks off the exchange....sumtyms thru a network of brokers or agents. Ni unregulated ni huwa kwa makubaliano flan.

I have dreams of being a stock broker sema it needs a significant amount of capital plus heavy experience on these market trends. The best time to buy a stock is when kuna crisis kama hii issue ya brexit.

Pia vizia company kubwa zikipatwa na corporate scandals hii hufanya stock price i drop pale price inakuwa chini.....unanunua then baadae mambo yakiwa re-structured and stabilised price ya stock iki improve unabutua.

Kuna moja ilitokea UK's largest retailer (Tesco) around 2014 wame recover kuna watu wamebutua hela ndefu.
 
Like u said wakat mwingine tunapitwa na mambo mazuri sabab ya woga, hela tumewekeza kwingine plus kuchukulia mambo ki rahisi.

Na ufahamu na hzo issue nimepiga ma chuo (investment analysis & portfolio mgt). I understand how its like to miss a shot.

Kuna zingine wana trade over the counter....wanapiga sanaa.
On my side, i saw the target but i didn't have a bullet to trigger a shot and no option. Sad
 
Over the counter ni ile wana trade stocks off the exchange....sumtyms thru a network of brokers or agents. Ni unregulated ni huwa kwa makubaliano flan.

I have dreams of being a stock broker sema it needs a significant amount of capital.
Hiyo definition naielewa sema how inaweza kuapply ndo hiwa sielewi. I know its trading outside the exchange but practicability yake siielewi maana kwa kweli.

Ila kwanini ungoje mpaka mtaji uwe mkubwa? Logically ni vizuri kuanza kidogo kidogo. Ili uwe una grow na portfolio yako ili uzidi kujifunza market inakwendaje na uweze kuelewa the issue of risk management. Ukisema eti unangoja mpaka uwe na kiasi kama 100,000,000 ndo uingie sokoni, i guarantee you will be screwed.
 
Yah ni kweli lakini
U need to kno or have a concept on

1. Financial Risk Management
2. Investment Analysis & Portfolio Management
3. Financial and Capital Markets
4. Corporate Finance

Kuna vitabu vyake (Kimoja si chini ya £ 50 ) vinakupa somo from scratch ni uwe na juhudi ya kujiongeza kuna numbers nyingi tu ila kikubwa ni kuelewa. Its a wide field man trust me hata nlivyo graduate chuo kuna mengi sanaa still ya kujifunza.

Instruments sio hisa tu. Kuna nyingi tu unaweza invest i.e. treasury bills, options, futures, swaps, certificate of deposits etc.

Ni uwanja mpana sanaa. U cant learn overnight. Kila siku utajiona bado hujui kitu.
 
U need to kno or have a concept on

1. Financial Risk Management
2. Investment Analysis & Portfolio Management
3. Financial and Capital Markets
4. Corporate Finance

Kuna vitabu vyake (Kimoja si chini ya £ 50 ) vinakupa somo from scratch ni uwe na juhudi ya kujiongeza kuna numbers nyingi tu ila kikubwa ni kuelewa. Its a wide field man trust me hata nlivyo graduate chuo kuna mengi sanaa still ya kujifunza.

Instruments sio hisa tu. Kuna nyingi tu unaweza invest i.e. treasury bills, options, future, swaps, certificate of deposits etc.

Ni uwanja mpana sanaa. U cant learn overnight. Kila siku utajiona bado hujui kitu.
We kwani umesomea bachelor gani? b com? na masters umesoma? Itabidi nifanye kuvitafuta hivo vitabu nizidi kujinoa na mimi
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom