Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Cc: Naantombe Mushi, Expected Value na kwa niaba ya wengine.

LEARNING RESOURCES

1. Investment Analysis & Portfolio Management

Books:

Modern Portfolio Theory and Investment Analysis, Elton & Gruber, 2007, John Wiley & Sons.

Principles of Finance with Excel (CD Included), Simon Benniga, 2006, Oxford University Press Inc.

Fundamentals of Investments (3rd Edition), Alexander, Sharpe, Bailey. Prentice Hall

2. Financial & Capital Markets

Books:

Modern Financial Markets and Institutions: A practical perspective. Glen Arnold (2012), Prentice Hall Financial Time Press.

Money, Banking and Financial Market (2nd Edition), Ball, Laurence, 2011. Worth Publisher

The Economics of Money, Banking and Financial Markets, Mishkin F and Mathews K (2013). Pearson Harlow England.

3. Finacial Risk Management

Core Book:
Essentials of Financial Risk Management, 2005, Horcher, K, John Wiley & Son

Others:

Quantitative Risk Management: A practicle guide to Financial Risk, Coleman, T (2012), John Wiley & Son

Elements of Financial Risk Management (2nd Edition), Christoffersen, P., 2011, Elseiver

Investment Analysis & Portfolio Management (8th Edition), Reilly F., Brown K., Thompson

Investment Appraisal and Financial Decisions (6th Edition), Lumby S., Jones C., Thompson.

4. Advances in Corporate Finance

Core Book:

Corporate Finance. Principles and Practice (6th Edition), Denzil Watson & Antony Head (2013)

Others:

Brealey, R. Myers, S & Allen, F., 2007. Principles of Corporate Finance with S&P bind-in Card. 9th ed. McGraw- Hill International Edition.

Allen, F. and R. Michaely ‘Dividend Policy’ in Jarrow, Maksimovic and Ziemba (eds)

Handbook of Finance. (Elsevier Science, 1995).

Haugen, R. and J. Lakonishok The incredible January effect. (Homewood, Ill.: Dow Jones-Irwin, 2008)

Ravenscraft, D. and F. Scherer Mergers, Selloffs, and Economic Efficiency. (Washington D.C.:Brookings Institution, 1987)

Haya mzigo huo hapo ila take note kuna vitabu vina modern/revised editions but si issue sanaa....ni mifano na case studies zinakua updated kdgo but its 97% the same stuff. Msije mkasema Senior Boss mbinafsi/mchoyo.

Having the information is one thing, learning and applying it is another thing. Pia ni muhimu kusoma na kupitia as many journals as u possibly can as inasaidia kujua mambo mengi na ku widen ur thinking (Nimejionea from my experience).

Best of Luck.

Senior Boss (The Boss of all Bosses)
 
Having the information is one thing, learning and applying it is another thing. Pia ni muhimu kusoma na kupitia as many journals as possibly can inasaidia kujua mambo mengi sanaa.

Best of Luck.

Senior Boss (The Real Big Boss)
Pamoja sana kaka respect
 
Inatokea sana hiyo mkuu.. lakini siku ingine kabla ya kununua hisa tenga mda wa kusoma zile prospectus na ukazielewa. Zinakuwaga na information zote sema watu wanazi ignore na wanaenda kichwa kichwa.. mwisho wa siku ndo hivo
Uko sawa Mkuu.....nimejifunza sana tu,
 
Cc: Naantombe Mushi, Expected Value na kwa niaba ya wengine.

LEARNING RESOURCES

1. Investment Analysis & Portfolio Management

Books:

Modern Portfolio Theory and Investment Analysis, Elton & Gruber, 2007, John Wiley & Sons.

Principles of Finance with Excel (CD Included), Simon Benniga, 2006, Oxford University Press Inc.

Fundamentals of Investments (3rd Edition), Alexander, Sharpe, Bailey. Prentice Hall

2. Financial & Capital Markets

Books:

Modern Financial Markets and Institutions: A practical perspective. Glen Arnold (2012), Prentice Hall Financial Time Press.

Money, Banking and Financial Market (2nd Edition), Ball, Laurence, 2011. Worth Publisher

The Economics of Money, Banking and Financial Markets, Mishkin F and Mathews K (2013). Pearson Harlow England.

3. Finacial Risk Management

Core Book:
Essentials of Financial Risk Management, 2005, Horcher, K, John Wiley & Son

Others:

Quantitative Risk Management: A practicle guide to Financial Risk, Coleman, T (2012), John Wiley & Son

Elements of Financial Risk Management (2nd Edition), Christoffersen, P., 2011, Elseiver

Investment Analysis & Portfolio Management (8th Edition), Reilly F., Brown K., Thompson

Investment Appraisal and Financial Decisions (6th Edition), Lumby S., Jones C., Thompson.

4. Advances in Corporate Finance

Core Book:

Corporate Finance. Principles and Practice (6th Edition), Denzil Watson & Antony Head (2013)

Others:

Brealey, R. Myers, S & Allen, F., 2007. Principles of Corporate Finance with S&P bind-in Card. 9th ed. McGraw- Hill International Edition.

Allen, F. and R. Michaely ‘Dividend Policy’ in Jarrow, Maksimovic and Ziemba (eds)

Handbook of Finance. (Elsevier Science, 1995).

Haugen, R. and J. Lakonishok The incredible January effect. (Homewood, Ill.: Dow Jones-Irwin, 2008)

Ravenscraft, D. and F. Scherer Mergers, Selloffs, and Economic Efficiency. (Washington D.C.:Brookings Institution, 1987)

Haya mzigo huo hapo ila take note kuna vitabu vina modern/revised editions but si issue sanaa....ni mifano na case studies zinakua updated kdgo but its 97% the same stuff. Msije mkasema Senior Boss mbinafsi/mchoyo.

Having the information is one thing, learning and applying it is another thing. Pia ni muhimu kusoma na kupitia as many journals as u possibly can as inasaidia kujua mambo mengi na ku widen ur thinking (Nimejionea from my experience).

Best of Luck.

Senior Boss (The Real Big Boss)
Mkuu umekisahau "Wealth of nations''
 
Nilifanikiwa kununua hisa za DSE na kama b'nessman nilipredict hili leo hii kuna mama amestaaff na alipokea mpunga wake the same week DSE wakitangaza initial public offer ya DSE plc shares nikamshauri maza toa kama million 15 hiv invest huku kachelea chelea hadi muda wa kununua share in primary market ukaisha jana namwambia share sasa hiv zina ck ya nne kwenye secondary market na zina trade for 1100 ths / share ananimind huyu ana akili kweli mgonjwa unamletea msosi unamsagia alafu hataki kumeza
 
Hizi habari za hisa ni sawa na kucheza kamari tu
Leo ukila basi ujue ipo siku utapunwa tu
 
Aisee acheni tu zile hisa za DSE zilizokuwa zinauzwa 500 mwezi uliopita kuanzia wiki hii zimeanza ku trade kwenye secondary market kwa bei ya mpaka 1100. Yaani roho inaniuma sana maana hii opportunity nilikuwa naiona kabisa kwamba hii equity ya DSE ilikuwa ni hot cake sema sikuwa na pesa.

Acheni kabisa jamani Umasikini ni laana and knowledge is power. Just imagine after mwezi mmoja tu unapata return ya 100%. Is this not madness? Nimeona mtu anauza share zake 50000 kwa bei ya 1000 na yeye alinunua kwa 500 yaani ametengeneza 25,000,000 profit per month.

Damn... Fvck poverty Fvck poverty... kweli kuwa tajiri ni akili yako na sio kufanya kazi mpaka mikono itoke sugu. Wakulima endeleeni kupalilia mazao ila kuna mpuuzi nimemuona katengeneza 25M ndani ya mwezi mmoja .. mamamamaaaaeee
DSE wanafanya biashara gani mpaka waissue share na hizo share kupanda bei hivyo? Am not sure kama hizi taarifa ni za kweli.
 
Kama unaona huu uzi ni wa uongo ingia web ya dse nenda kaangalie daily report ya tangu tarehe 12 july wakati share zikiwa listed na hadi jana
Prices kwenye stock market yetu inamove kutokana na forces za deman na supply!! Hizo share zilihitajika kwa kipi mpka zipande kwa kiasi hicho.
Nikuarifu tu, mimi ni mdau wa DSE miaka mingi, kwa sasa share prices zinaporomoka kwa kasi kubwa sana. Volume ya trading imeshuka sana. Watu hawana hela.
 
I am also thinking having just come off the IPO, who are these buyers ready to pay twice the amount in the secondary market who could not participate then?

It'd be interesting to see if the stocks are actually trading with all the post IPO dumping that we have grown accustomed to.
 
Hii siyo biashara rahisi kama mdau navyofanya ionekane, huo ni mhemko wake wa kuona mtu anapata faida asilimia 100 ndiyo unamchanganya, ukiingia kichwakichwa inakula kwako. Last week nilikwenda sehem flani kufanya research ya zao fulani, nimekuta bwana mmoja kavuna ekari zake kumi...wanunuzi wanamzonga, kama alikubali kuuza kwa bei ya chini kabisa kati ya offer alizokuwa akipewa atakuwa alitengeneza milioni 120, yeye alitumia chini ya 25M kulea hilo shamba kwa miezi minne! Wakati huo akivumilia mwezi mmoja au miwili anaweza kujikuta anatengeneza zaidi ya 200M! Sasa ukiwa mtu wa mihemko hapa unaweza kusema fu*k all ukazamisha 250M ardhini ukiwa na mategemeo ya kuhesabu mabilioni ukivuna...matokeo yake ukaliwa. Research ni ufunguo, biashara hazifanyiki kwa mhemko

Kwanza kabisa biashara ya hisa si biashara ya njaa au kutaka quick returns at times kuna several factors zinazoweza kusabisha ghafla share price ziongezeke/kupungua i.e. economic policies, company dividend policies (kuna company zingine hazitoi dividends na kwamba wana plough back/re-invest the profits for expansion au kupunguza leverage/debts sasa hii pia inachangia sana tu), mabadiliko ya sheria na hata hali ya kisiasa nchini na duniani kwa ujumla na mengine mengi.

Si kitu cha kukurupuka tu overnight like umesoma a few journals, books na kujiona u know it all. Utaondoka kama ulivyokuja. Tehe

Muhimu ni kujua na kuelewa factors zinazo sababisha share price fluctuations (supply nd demand pekee haitoshi). Ndio it is very possible kupata returns 100% ni ujue ku forecast success of a given company logically issue za competitive advantage, financial strategy, capital structure za company husika (leverage & equity), market trends na hata industry ya company husika (competitors) et al. Hapa kwetu bado soko ni changa mnoo....ndio maana hata kuna fluctuations kama hzo na kuna company zingine hapo hapo dse share price zinakua almost stagnant.

Ukipitia vitabu kwenye list ya material nlizo post awali hasa vitabu vya financial and capital markets kuna nondo nyingi sanaa on that area.

Risk aint shit, if you know what ur doing. (Calculated Risk). Wapo watu waliuza nyumba zao wakanunua mihisa hapo hapo DSE kwenye viwanda vya ulabu na leo hawakamatiki. Acha Balaa.
 
Prices kwenye stock market yetu inamove kutokana na forces za deman na supply!! Hizo share zilihitajika kwa kipi mpka zipande kwa kiasi hicho.
Nikuarifu tu, mimi ni mdau wa DSE miaka mingi, kwa sasa share prices zinaporomoka kwa kasi kubwa sana. Volume ya trading imeshuka sana. Watu hawana hela.
Sasa we mdau wa DSE huna taarifa zozote kuhusu hisa za DSE? Is it possible? Embu niambie kwanza we ni mdau kivipi, maana hata mfagizi wa ofisi naye ni mdau. Embu tuanzie hapo kamanda.. we ni mdau wa DSE kivipi?
 
DSE wanafanya biashara gani mpaka waissue share na hizo share kupanda bei hivyo? Am not sure kama hizi taarifa ni za kweli.
Sasa mdau wa DSE miaka mingi hujui DSE wanafanya biashara gani? hahahahaha.. mkuu umefanya jumapili yangu kuwa nzuri sana:D:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom