Kwa hiyo hapo niandae kama kilo nne kwa vyote hivo.. duuh ntajitahidi angalau hata kimoja sio mbaya
Ndugu na Mimi naomba uni pm hivyo vitabu.
Thanks Ndungu
Nakubaliana na weweHao jamaa tatizo wengine ni matapeli.. Mimi nilishamtumia mmoja wa UK akaniingiza mjini lakini angalau sikutupa pesa nyingi huko..
Huwa wanakutumia price na maelekezo inakuwa unatrade na pesa kwenye account inaongezeka vizuri tu.. Sasa kimbembe ukitaka uitoe hiyo pesa urudishe kwenye Account yako ya bank ndio hapo wanapoanza sound..
Wew ni Umbwe ipi hiyoHuu uzi bomba sana
Uko vizuri mdada, embu nipe uzoefu wa soko la hisa linaendaje na mimi nipige mahelaPole, wenzio tulitumia nafasi tulizonazo kuwekeza. Sikuwa na cash ila nilikuwa kwenye nafasi ya kuaminika kukopa hela na nikagundua hisa. Navuta walau nifike 1200 niuze ila ikishuka hadi 900 pia nauza maana bado ntakuwa sina hasara.
Pesa tamu sana ukiipatia formula ni kama hesabu vile.
Samshan boss...mimi cjasomea acount je naweza kujiingiza kwny hii biashara bila ya kujiweka kwenye hatari kubwa? Je naanzaje?Cc: Naantombe Mushi, Expected Value na kwa niaba ya wengine.
LEARNING RESOURCES
1. Investment Analysis & Portfolio Management
Books:
Modern Portfolio Theory and Investment Analysis, Elton & Gruber, 2007, John Wiley & Sons.
Principles of Finance with Excel (CD Included), Simon Benniga, 2006, Oxford University Press Inc.
Fundamentals of Investments (3rd Edition), Alexander, Sharpe, Bailey. Prentice Hall
2. Financial & Capital Markets
Books:
Modern Financial Markets and Institutions: A practical perspective. Glen Arnold (2012), Prentice Hall Financial Time Press.
Money, Banking and Financial Market (2nd Edition), Ball, Laurence, 2011. Worth Publisher
The Economics of Money, Banking and Financial Markets, Mishkin F and Mathews K (2013). Pearson Harlow England.
3. Finacial Risk Management
Core Book:
Essentials of Financial Risk Management, 2005, Horcher, K, John Wiley & Son
Others:
Quantitative Risk Management: A practicle guide to Financial Risk, Coleman, T (2012), John Wiley & Son
Elements of Financial Risk Management (2nd Edition), Christoffersen, P., 2011, Elseiver
Investment Analysis & Portfolio Management (8th Edition), Reilly F., Brown K., Thompson
Investment Appraisal and Financial Decisions (6th Edition), Lumby S., Jones C., Thompson.
4. Advances in Corporate Finance
Core Book:
Corporate Finance. Principles and Practice (6th Edition), Denzil Watson & Antony Head (2013)
Others:
Brealey, R. Myers, S & Allen, F., 2007. Principles of Corporate Finance with S&P bind-in Card. 9th ed. McGraw- Hill International Edition.
Allen, F. and R. Michaely ‘Dividend Policy’ in Jarrow, Maksimovic and Ziemba (eds)
Handbook of Finance. (Elsevier Science, 1995).
Haugen, R. and J. Lakonishok The incredible January effect. (Homewood, Ill.: Dow Jones-Irwin, 2008)
Ravenscraft, D. and F. Scherer Mergers, Selloffs, and Economic Efficiency. (Washington D.C.:Brookings Institution, 1987)
Haya mzigo huo hapo ila take note kuna vitabu vina modern/revised editions but si issue sanaa....ni mifano na case studies zinakua updated kdgo but its 97% the same stuff. Msije mkasema Senior Boss mbinafsi/mchoyo.
Having the information is one thing, learning and applying it is another thing. Pia ni muhimu kusoma na kupitia as many journals as u possibly can as inasaidia kujua mambo mengi na ku widen ur thinking (Nimejionea from my experience).
Best of Luck.
Senior Boss (The Boss of all Bosses)
Ofkoz u can even if hujasoma accounting....hapo kikubwa ni elimu ya Finance i.e. Corporate Finance.Samshan boss...mimi cjasomea acount je naweza kujiingiza kwny hii biashara bila ya kujiweka kwenye hatari kubwa? Je naanzaje?
MKUU HUJAMALIZIA KUMPA JIBU MAANA KAULIZA ATAANZAJE? TUPO WENGI TUNAOTAKA KUFAHAMUOfkoz u can even if hujasoma accounting....hapo kikubwa ni elimu ya Finance i.e. Corporate Finance.
Wapo watu kibao wamesoma Finance hawajasoma Accounting. Wamesoma ile general tu first year cz lazima mtu utakuta amesoma Accounting as a subject in his/her degree.
MKUU HUJAMALIZIA KUMPA JIBU MAANA KAULIZA ATAANZAJE? TUPO WENGI TUNAOTAKA KUFAHAMU
Mwenye nacho anaongezewa....Aisee acheni tu zile hisa za DSE zilizokuwa zinauzwa 500 mwezi uliopita kuanzia wiki hii zimeanza ku trade kwenye secondary market kwa bei ya mpaka 1100. Yaani roho inaniuma sana maana hii opportunity nilikuwa naiona kabisa kwamba hii equity ya DSE ilikuwa ni hot cake sema sikuwa na pesa.
Acheni kabisa jamani Umasikini ni laana and knowledge is power. Just imagine after mwezi mmoja tu unapata return ya 100%. Is this not madness? Nimeona mtu anauza share zake 50000 kwa bei ya 1000 na yeye alinunua kwa 500 yaani ametengeneza 25,000,000 profit per month.
Damn... Fvck poverty Fvck poverty... kweli kuwa tajiri ni akili yako na sio kufanya kazi mpaka mikono itoke sugu. Wakulima endeleeni kupalilia mazao ila kuna mpuuzi nimemuona katengeneza 25M ndani ya mwezi mmoja .. mamamamaaaaeee