Nawaombea Wapalestina

Nawaombea Wapalestina

Weka nukuu ya Aya madai Yako , umeyatoa wapi kwenye Koran ?

Mimi naweka
Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
Qur an 5: 26
(Mwenyezi Mungu) akasema. Basi nchi hiyo wameharimishiwa (mayahudi) kwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotofu
 
Skilizeni Enyi watu achani kugombana kwa sababu za kiimani na kidini.
Naunga mkono wapalestina waishi kwa Amani Katika ardh Yao naunga mkono wa waisrael waishi kwa Amani bila kupiga mabom sehemu za makazi ya watu.
Je Mungu ni Mmbaguzi ? La asha niseseme mm ! Ila kwakuwa mm ni mkristo nione ni sawa' kwa wapalestina kuwawa? Hivi kweli watu hawana ubinadamu kabisa?
Wayaudi wanaofanya vita hawa mwamini Kristo naye mwamini na pia wao Wana dini Yao.
The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians .
I'm standing with Humanity instead of those who's killings innocent people.
Naam. Bila ya shaka Mwenyezi Mungu atahukumu kwa haki
 
Qur an 5: 26
(Mwenyezi Mungu) akasema. Basi nchi hiyo wameharimishiwa (mayahudi) kwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotofu
Apo omesema miaka 40 nataka Aya Allah alisema walinyang'anywa na Mungu
 
Hilo taifa limeundwa mwaka 1948.
wakatafute ardhi yao.hao walishagombana na mungu kitambo akawaacha waangahike wazurure tu.hapo sio kwao
😁😁😀😀
Tangu lini mtoto wa kijakazi akawa na miliki?
HAMAS wametoa nafasi za kazi ukajiunge nao km mwanajeshi. Mshahara, utalipwa na Allah
 
Qur an 5: 26
(Mwenyezi Mungu) akasema. Basi nchi hiyo wameharimishiwa (mayahudi) kwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotofu
Allah alikuwa msanii sana. Huko akhera ni ngono tu

Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
Kaka leo hii TANZANIA NA AFRIKA kwa ujumla kuna waarabu, wazungu, wahindi, wachina, na kila aina ya watu tena ata Tamaduni zao ndio zimeshika kasi na kunabaadhi ya Nchi apa Afrika wanawabagua waafrika Asili tena kunabaadhi wanadhihaki mpaka tamaduni za waafrika Asili.

Je waafrika Asili waanzishe vita...??
Je nani yupo kwenye ardhi yake ya Asili kabisa kabisa...??

Ata wewe ulivo leo ni matokeo ya wageni kuvamia ardhi ya Africa.

Mimi binafsi yeyote ashinde au ashindwe lakini wanaoteseka ni watoto na mnufaika wa mateso ayo ni Babylon. Ivo ni vizuri kutafuta Mfumo utakao wawezesha jamii zote mbili kuishi kwa amani na ikija nyingine nayo iishi pia kwa sababu Dunia ni Mali ya kila kiumbe hai izi nchi ni siasa tu ila ardhi haina Mipaka
 
Back
Top Bottom