Nawaombea Wapalestina

Nawaombea Wapalestina

Mimi Nakupa ushahidi Aliye mvuvia Quran muhammad ni!;
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Na muhammad amekubali!;
[emoji116][emoji116]
عمدة الأحكام: ج3، ص460

وعن أنس بن مالك قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: "إن الله كان شيطانا في صورة ملك، أنزل علي الآيات وكتابه القرآن وأنا رسوله". .
Umdah al-Ahkam: Juz.3,uk.460
eumdat al'ahkami: ja3, sa460
waean 'anas bn malik qali: samiet rasul allah salaa allah ealayh wasalam yaquli: "'ina allah kan shaytanan fi surat malakin, 'unzil ealia alayat wakitabuh alquran
wa'ana rasuluhu".

Imepokewa kutoka kwa Anas Ibn Malik:
"Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: "Allah alikuwa shetani katika umbo la Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi ni Mtume wake.
Suratul Baqarah 97
Sema ewe mtume, kuwaambia Mayahudi waliposema jjibri ni adui yetu miongoni mwa malaika. Mwenyekuwa adui wa jibri basi ajue kuwa yeye aliyeiteremsha Qur an na kuitia ndani ya moyo wako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka. Ikiwa ni yeye kuvisadikisha vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyoitangulia, yenye kuongoza kwenye njia ya haki na yenye kuwapa wenye kuamini ishara ya kila wema wa dunia na akhera.
 
Dhulma haifuati Haki. Siwezi kuwaombea waliodhulmu ardhi ya mwenye haki kisha kuanza kupora na kuwauwa kikatili.

Sisimami na watu madhalimu. Nasimama na wenye haki

Wala msichanganye haki na dhulma. Na mkaficha haki nanyi mnajua - Qur an 2:45
Sheikh ubwabwa na dua za uchwara. Unawaombea waliobaka vijana kwenye festival nakuwauwa maelfu, wameua watoto na wazee unadhani Mungu muumba mbingu na nchi atasikia 😂😂😁😀😀. Mungu ya aina hiyo ni makelele mbele za Mungu yehova
 
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
Dhulma haifuati Haki. Siwezi kuwaombea waliodhulmu ardhi ya mwenye haki kisha kuanza kupora na kuwauwa kikatili.
Yani unasema Allah amefanya dhulma kha?!

Allah anasema
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(Wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri

Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Kwa hiyo apo Koran 2:3 aneongea apo ni nani Kati ya uliowataja ?
 
Yani unasema Allah amefanya dhulma kha?!

Allah anasema
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(Wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
😂😂😁😁😀😀😬, mkuu umekutana na maamuma wasiojielewa. Hawa ndio wakutandika viboko maana wanamsingizia Mungu mambo ya aibu.
 
Kama unawaombea Kwa mungu allah Hana Uwezo wala Masada wowote! Sababu allah aliwahi Kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu akampuuza hadi Leo Wayahudi na Wakristo Wapo WANADUNDA hawaja Angamia!
Takbirrrr
 
Wapalestina walipaswa kukubali ule mpango wa un na kuishi na wayahudi kwa umoja na upendo,ila kwakuwa ni wabinafsi na washenzi wakajiona wao ndio wanastahili kuishi hapo pekeyao,sasa wanaishi kama paka shume.
Yaani ardhi yangu alafu unaniletea dharau na ubabe wewe ungekubali?
 
Angekuwa mkubwa wasingempiga misumali wayahudi
Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo zaidi ya jina la Yesu. Mwamedi, Allah hata mashetani yote mnayoaabudu yanajua hilo jitoe ufahamu tu.
 
Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo zaidi ya jina la Yesu. Mwamedi, Allah hata mashetani yote mnayoaabudu yanajua hilo jitoe ufahamu tu.
Mbona yeye mwenyewe hajajiokoa?
 
Yaani ardhi yangu alafu unaniletea dharau na ubabe wewe ungekubali?
Allah anasema
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(Wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri

Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Jibri yupo wapi mbona haonekanagi awasaidie warabu waislamu wa kipalestina ili wawafanye wayahudi watumwa na vijakazi vyao.Kama walivyofanikiwa kuwafanya waafrika watumwa na vijakazi
 
Angekuwa mkubwa wasingempiga misumali wayahudi
Unambishia hata mungu wako Aliye Sema
Nimeamini kafiri Hana Mkole!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116]
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

[ AN-NISAAI - 157 ]
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Takbirr [emoji110]... YESU Akbar[emoji109][emoji123][emoji106]
 
Kumbe hawajamuua.sasa pasaka ya nini?
 
Mbona yeye mwenyewe hajajiokoa?
TUONYESHE kaburi lake! [emoji38][emoji38]
Tutajie kiumbe mwenye Uwezo huu!
[emoji116][emoji116]
John 10:18
[18]Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
Kwanini huwaombei waisrael waliouawa na magaidi ya hammas au wapalestine wakiwaua waisrael ni sahihi kwa mujibu wa dini yenu ila waisrael ni makosa kujibu wanaposhambuliwa jitahidi kuwa na usawa acha unafiki na upendeleo wa kidini

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom