Mungu amewapenda sana waarabu na kuwahurumia.Wao wanaipenda sana dunia na kumhurumia shetani.Wasubiri basi kiboko chao.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,192
10,926
Hii hadithi ni ndefu sana.Lakini tutaileta hapa kwa ufupi.Najua kuna wataalamu wataiendeleza.
Kwa ufupi dunia tangu kuumbwa Mwenyezi Mungu (Allah) ameleta umma nyingi kabla ya umma huu.Wakileta jeruri huwa anawaangamiza na kuleta wengine.
Karibuni waliletwa bani Israel.Walipoanza kujisahau wakapewa nabii Mussa a.s awazindue na kuwaongoza.Walipofanya ufedhuli nabii Mussa a.s na watu wema wakaokolewa na waliobaki wakagharikishwa na wengine waliofuata mafunzo yale potofu na wanaoendelea kuyafuata wakalaaniwa..Hao ndio hawa mayahudi waliojikushanya kwenye ardhi za wapalestina.
Ama kwa waarabu baada ya kuwa walikuwa wapotofu sana,Allah akawapa heshima ya kuwatolea mtume miongoni mwao ambaye ni Muhammad s.a.w ili waongoze umma wa mwisho unaotakiwa wote uwe chini yake kwa imani ya kiislamu ile ile iliyokuwa dini ya mitume wote tangu Adam a.s
Baada ya kupewa heshima hiyo waarabu wakapewa muongozo tena katika maandishi ili wasitoke nje ya mstari.Muongozo huo ni kitabu cha Qur'an kisichokuwa na shaka ndani yake na ambacho hakiwezi kuingizwa maneno ya watu.
Miongoni mwa mafunzo ya kitabu hicho ambacho kiko katika lugha ya kiarabu ambayo ni lugha wanayoilewa vyema waarabu,ni kuhurumiana na kuacha kushirikiana na watu waliolaaniwa.
Ili kuwapa nguvu waarabu kusimamia mafunzo ya Qur'an na uislamu ubaki ndio imani ya wanadamu wote mpaka siku ya mwisho,waarabu wakapewa mali nyingi kwenye maeneo yao na wao pamoja na wengine walioukubali uislamu kuwekwa kwenye maeneo ya kistratejia kwa dunia nzima.
Kitu ambacho ni jeuri na kujisahau kwa waarabu ni kuacha mafunzo ya uislamu na kuacha watu waliolaaniwaa wafanye kama wanavyotaka kwa binaadamu wenzao na kwa ndugu zao.Zaidi ni kuacha kuwaunga mkono wale wanaopigana na maadui wa Allah kwa ajili ya kusimamia mafunzo na kulinda ishara za utukufu wake Allah (s.w).jIshara ya utukufu ni kama vile masjidul aLaqswa.
Kwa kipimo cha mafunzo ya uislamu,isingetarajiwa kuona waislamu 2.3 mil na wengine 4.7 milioni upande wa pili wakipigwa na kugaragazwa na mayahudi mbele ya macho yao.
Tofauti na hapo zamani,shida na mauwaji yanayofanywa na mayahudi yanatangazwa mubashara.Bado katika hali kama hiyo nchi zinazopakana na Gaza na Palestina kwa ujumla kila siku zinavyosogea na wao ndio wanazidisha ukimya.Mfano halisi ni Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Allah s.w ni mwingi wa huruma lakini pia ni mwingi wa hasira na hua hana haraka wala papara katika maamuzi yake.Allah vile vile hana ushirika na viumbe vyake kwamba kundi fulani ni wateule wake.
Huwa anatoa fursa za kutosha za watu kushuhudia,kujitathmini na kujipanga kuchukua maamuzi.Kibianadamu muda huo huwa unaumiza sana lakini kwa vile ni fursa na yeye haathiriwi na maumivu ya kibinadamu basi muda huwa unaweza kurefuka.
Mwisho wa yote kuna ahadi ndani ya Qur'an kwamba iwapo watu waliopewa kheri watajisahau na kuipuuza basi anaweza akawanyang'anya watu kheri hizo na wakapewa watu wengine na hakuna atakayeweza kuzuia.
Akitaka atakuondoeni, enyi watu! Na awalete wengineo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa hayo. (QUR 4:133)
 
Kinyungu leo umeibuka.Naona hilo darsa limekuingia vizuri.
 
Mtume mhamadi simuamini kama alikuwa nabii, lakini maisha aliyoishi hayafanani na waislamu wa leo walijaa visasi, waislamu wacha Mungu wapo na maisha yao yana ushuhuda mzuri, lakini aina ya uislamu wa akina Moslem brotherhood, Alshababu, Boko Haram, ISIS, Janjaweed, PKK, Hezibolla, Hamas hapana, huo ni ushetani, kwa chuki walizonazo ni hatari, hata Mtume Mohamad angekuwepo angewakata, hao siyo waislam tunawajua wenye civilization .
 
Hii hadithi ni ndefu sana.Lakini tutaileta hapa kwa ufupi.Najua kuna wataalamu wataiendeleza.
Kwa ufupi dunia tangu kuumbwa Mwenyezi Mungu (Allah) ameleta umma nyingi kabla ya umma huu.Wakileta jeruri huwa anawaangamiza na kuleta wengine.
Karibuni waliletwa bani Israel.Walipoanza kujisahau wakapewa nabii Mussa a.s awazindue na kuwaongoza.Walipofanya ufedhuli nabii Mussa a.s na watu wema wakaokolewa na waliobaki wakagharikishwa na wengine waliofuata mafunzo yale potofu na wanaoendelea kuyafuata wakalaaniwa..Hao ndio hawa mayahudi waliojikushanya kwenye ardhi za wapalestina.
Ama kwa waarabu baada ya kuwa walikuwa wapotofu sana,Allah akawapa heshima ya kuwatolea mtume miongoni mwao ambaye ni Muhammad s.a.w ili waongoze umma wa mwisho unaotakiwa wote uwe chini yake kwa imani ya kiislamu ile ile iliyokuwa dini ya mitume wote tangu Adam a.s
Baada ya kupewa heshima hiyo waarabu wakapewa muongozo tena katika maandishi ili wasitoke nje ya mstari.Muongozo huo ni kitabu cha Qur'an kisichokuwa na shaka ndani yake na ambacho hakiwezi kuingizwa maneno ya watu.
Miongoni mwa mafunzo ya kitabu hicho ambacho kiko katika lugha ya kiarabu ambayo ni lugha wanayoilewa vyema waarabu,ni kuhurumiana na kuacha kushirikiana na watu waliolaaniwa.
Ili kuwapa nguvu waarabu kusimamia mafunzo ya Qur'an na uislamu ubaki ndio imani ya wanadamu wote mpaka siku ya mwisho,waarabu wakapewa mali nyingi kwenye maeneo yao na wao pamoja na wengine walioukubali uislamu kuwekwa kwenye maeneo ya kistratejia kwa dunia nzima.
Kitu ambacho ni jeuri na kujisahau kwa waarabu ni kuacha mafunzo ya uislamu na kuacha watu waliolaaniwaa wafanye kama wanavyotaka kwa binaadamu wenzao na kwa ndugu zao.Zaidi ni kuacha kuwaunga mkono wale wanaopigana na maadui wa Allah kwa ajili ya kusimamia mafunzo na kulinda ishara za utukufu wake Allah (s.w).jIshara ya utukufu ni kama vile masjidul aLaqswa.
Kwa kipimo cha mafunzo ya uislamu,isingetarajiwa kuona waislamu 2.3 mil na wengine 4.7 milioni upande wa pili wakipigwa na kugaragazwa na mayahudi mbele ya macho yao.
Tofauti na hapo zamani,shida na mauwaji yanayofanywa na mayahudi yanatangazwa mubashara.Bado katika hali kama hiyo nchi zinazopakana na Gaza na Palestina kwa ujumla kila siku zinavyosogea na wao ndio wanazidisha ukimya.Mfano halisi ni Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Allah s.w ni mwingi wa huruma lakini pia ni mwingi wa hasira na hua hana haraka wala papara katika maamuzi yake.Allah vile vile hana ushirika na viumbe vyake kwamba kundi fulani ni wateule wake.
Huwa anatoa fursa za kutosha za watu kushuhudia,kujitathmini na kujipanga kuchukua maamuzi.Kibianadamu muda huo huwa unaumiza sana lakini kwa vile ni fursa na yeye haathiriwi na maumivu ya kibinadamu basi muda huwa unaweza kurefuka.
Mwisho wa yote kuna ahadi ndani ya Qur'an kwamba iwapo watu waliopewa kheri watajisahau na kuipuuza basi anaweza akawanyang'anya watu kheri hizo na wakapewa watu wengine na hakuna atakayeweza kuzuia.
Akitaka atakuondoeni, enyi watu! Na awalete wengineo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa hayo. (QUR 4:133)
Waislamu wa leo kama Hamas,bokoharamu,iss wanatafsiri Quran vibaya wamejaa visasi,chuki,,vinyongo,unafiki,uwongo na kupenda mauaji
 
Ni washenzi tu, wanatumia baadhi ya maandiko vibaya tena kwa manufaa yao.

Uislamu wanaoishi wao mtume hakuufundisha.
 
Hii hadithi ni ndefu sana.Lakini tutaileta hapa kwa ufupi.Najua kuna wataalamu wataiendeleza.
Kwa ufupi dunia tangu kuumbwa Mwenyezi Mungu (Allah) ameleta umma nyingi kabla ya umma huu.Wakileta jeruri huwa anawaangamiza na kuleta wengine.
Karibuni waliletwa bani Israel.Walipoanza kujisahau wakapewa nabii Mussa a.s awazindue na kuwaongoza.Walipofanya ufedhuli nabii Mussa a.s na watu wema wakaokolewa na waliobaki wakagharikishwa na wengine waliofuata mafunzo yale potofu na wanaoendelea kuyafuata wakalaaniwa..Hao ndio hawa mayahudi waliojikushanya kwenye ardhi za wapalestina.
Ama kwa waarabu baada ya kuwa walikuwa wapotofu sana,Allah akawapa heshima ya kuwatolea mtume miongoni mwao ambaye ni Muhammad s.a.w ili waongoze umma wa mwisho unaotakiwa wote uwe chini yake kwa imani ya kiislamu ile ile iliyokuwa dini ya mitume wote tangu Adam a.s
Baada ya kupewa heshima hiyo waarabu wakapewa muongozo tena katika maandishi ili wasitoke nje ya mstari.mtajiju
 
Write your reply...mtajiju bana! Na mkileta ugaidi wenu huku muwaulize wazee wa uamsho
 
Hii hadithi ni ndefu sana.Lakini tutaileta hapa kwa ufupi.Najua kuna wataalamu wataiendeleza.
Kwa ufupi dunia tangu kuumbwa Mwenyezi Mungu (Allah) ameleta umma nyingi kabla ya umma huu.Wakileta jeruri huwa anawaangamiza na kuleta wengine.
Karibuni waliletwa bani Israel.Walipoanza kujisahau wakapewa nabii Mussa a.s awazindue na kuwaongoza.Walipofanya ufedhuli nabii Mussa a.s na watu wema wakaokolewa na waliobaki wakagharikishwa na wengine waliofuata mafunzo yale potofu na wanaoendelea kuyafuata wakalaaniwa..Hao ndio hawa mayahudi waliojikushanya kwenye ardhi za wapalestina.
Ama kwa waarabu baada ya kuwa walikuwa wapotofu sana,Allah akawapa heshima ya kuwatolea mtume miongoni mwao ambaye ni Muhammad s.a.w ili waongoze umma wa mwisho unaotakiwa wote uwe chini yake kwa imani ya kiislamu ile ile iliyokuwa dini ya mitume wote tangu Adam a.s
Baada ya kupewa heshima hiyo waarabu wakapewa muongozo tena katika maandishi ili wasitoke nje ya mstari.Muongozo huo ni kitabu cha Qur'an kisichokuwa na shaka ndani yake na ambacho hakiwezi kuingizwa maneno ya watu.
Miongoni mwa mafunzo ya kitabu hicho ambacho kiko katika lugha ya kiarabu ambayo ni lugha wanayoilewa vyema waarabu,ni kuhurumiana na kuacha kushirikiana na watu waliolaaniwa.
Ili kuwapa nguvu waarabu kusimamia mafunzo ya Qur'an na uislamu ubaki ndio imani ya wanadamu wote mpaka siku ya mwisho,waarabu wakapewa mali nyingi kwenye maeneo yao na wao pamoja na wengine walioukubali uislamu kuwekwa kwenye maeneo ya kistratejia kwa dunia nzima.
Kitu ambacho ni jeuri na kujisahau kwa waarabu ni kuacha mafunzo ya uislamu na kuacha watu waliolaaniwaa wafanye kama wanavyotaka kwa binaadamu wenzao na kwa ndugu zao.Zaidi ni kuacha kuwaunga mkono wale wanaopigana na maadui wa Allah kwa ajili ya kusimamia mafunzo na kulinda ishara za utukufu wake Allah (s.w).jIshara ya utukufu ni kama vile masjidul aLaqswa.
Kwa kipimo cha mafunzo ya uislamu,isingetarajiwa kuona waislamu 2.3 mil na wengine 4.7 milioni upande wa pili wakipigwa na kugaragazwa na mayahudi mbele ya macho yao.
Tofauti na hapo zamani,shida na mauwaji yanayofanywa na mayahudi yanatangazwa mubashara.Bado katika hali kama hiyo nchi zinazopakana na Gaza na Palestina kwa ujumla kila siku zinavyosogea na wao ndio wanazidisha ukimya.Mfano halisi ni Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Allah s.w ni mwingi wa huruma lakini pia ni mwingi wa hasira na hua hana haraka wala papara katika maamuzi yake.Allah vile vile hana ushirika na viumbe vyake kwamba kundi fulani ni wateule wake.
Huwa anatoa fursa za kutosha za watu kushuhudia,kujitathmini na kujipanga kuchukua maamuzi.Kibianadamu muda huo huwa unaumiza sana lakini kwa vile ni fursa na yeye haathiriwi na maumivu ya kibinadamu basi muda huwa unaweza kurefuka.
Mwisho wa yote kuna ahadi ndani ya Qur'an kwamba iwapo watu waliopewa kheri watajisahau na kuipuuza basi anaweza akawanyang'anya watu kheri hizo na wakapewa watu wengine na hakuna atakayeweza kuzuia.
Akitaka atakuondoeni, enyi watu! Na awalete wengineo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa hayo. (QUR 4:133)
Vipi wewe mbona hujaenda ufe , ili unufaike. Upo hapa jf unawalaumu tumwenzio, wewe umefanya nini? Kwa alichokupa mungu?
 
Ninachofanya ni hiki cha kuwaambia ili wajitathmini.
 
Waarabu ni magaidi na roho mbaya wakifuatiwa na wahindi Kisha waafrika.Ni mungu allah tu ndio anapenda wenye roho mbaya siyo Jehova/Yahwe,Jehova anakufanya kuwa muungwana mno.
 
vita dhidi ya israel sio ya kuingilia kwa jina la dini

myahudi ni chambo tu. nyuma yake kuna vigogo wengi wasiupenda uislam. wanamtafuta mtu aingilie tu wazifute hizo makka na madina kwenye uso wa dunia.

saudi arabia makao makuu ya uislamu wanalijua hili ndio maana wanakaa kimyaa kumuacha israel afanye anachotaka kwa palestina.

Osama Bin Laden na Al Qaeda yake wamemtokomeza

Ghadaffi na ubabe wake wamemtokomeza

Saddam Hussein na ubabe wake wamemtokomeza

mwarabu gani hana uoga wa kutokomezwa
 
Ha

Hamas ni special case, ila hao alqaeda, sijuu iss, alshabab na wengineo ni washenzi tu.

Wanafanya tofauti na mafundisho
Kabisa mkuu, kuna vikundi vinatumiwa na israel/wamagharibi. Mfano juzi hapa nigeria walichokifanya ni nje ya mafundisho ya uislamu. Islamic state/Daesh walichokua wanakifanya sio kabisa, so hivi vikundi havitumiki na waislamu, na kama vinatumiwa na waislamu basi ni kosa kufanya hivyo, ni nje ya mafundisho ya dini yetu.
 
Wale ndio kenge kabisa, wameenda kichinja wakristo kama 100 hivi huko plateau NIGERIA
Huwa najiulizavwmhawa ni waislam kweli, wanaijua dini yao, kwanini wanafanya tofauti na hali wakijua si sawa!? Je wanatumika na watu kuuchafua uislam, wako brainwashed? Ni mijitu ya namna gani, sijawahi pata jibu kamili.
Mafundisho yako wazi kabisa.
 
Usome Uislamu vizuri
uislam ni dini tu km dini zngne tatizo ni mnapoambiwa wachinjen wasio waislamu na nyie ndo mnajilipua,juz tu hapo nigeria mmeua watu 100 wakisheherekea xmas kwahyo mnaamin iko siku mtaua watu wote mtabak wenyew duniani.yani nyie mnacheza na viumbe vya mungu shauli yenu
 
Back
Top Bottom