Nawaombea Wapalestina

Nawaombea Wapalestina

Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
Mkuu unataka kutukanisha Dini.

Unajua fika kuna watakaotukqna hapa na bado unafanya hivyo.

Common sense hauna kabisa yaan.
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri


Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Alitemresha Quran ni jibri (mtafute jibri ndiyo utajua maana yake)

Al jinn
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
72:9 Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Hilo taifa limeundwa mwaka 1948.
wakatafute ardhi yao.hao walishagombana na mungu kitambo akawaacha waangahike wazurure tu.hapo sio kwao
Mimi nimeweka Koran inasema Allah alisema Mungu kawaandalia waisrael

Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
Never feel empathy for a terrorist
20231011_081913.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeweka Koran inasema Allah alisema Mungu kawaandalia waisrael

Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
Walipewa ardhi wakazingua.wakaachwa wazurure.hapo sio kwao.ukisoma billiards utaona ni jinsi gani walikuwa wanavamia ardhi za watu na kutawala wakiwa na Joshua.
 
sara yako haiotofika popote maana ni ya kinafki Israel itashinda vita maana ndio taifa la mungu
 
Mimi Nakupa ushahidi Aliye mvuvia Quran muhammad ni!;
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Na muhammad amekubali!;
[emoji116][emoji116]
عمدة الأحكام: ج3، ص460

وعن أنس بن مالك قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: "إن الله كان شيطانا في صورة ملك، أنزل علي الآيات وكتابه القرآن وأنا رسوله". .
Umdah al-Ahkam: Juz.3,uk.460
eumdat al'ahkami: ja3, sa460
waean 'anas bn malik qali: samiet rasul allah salaa allah ealayh wasalam yaquli: "'ina allah kan shaytanan fi surat malakin, 'unzil ealia alayat wakitabuh alquran
wa'ana rasuluhu".

Imepokewa kutoka kwa Anas Ibn Malik:
"Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: "Allah alikuwa shetani katika umbo la Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi ni Mtume wake.
🤣🤣🤣
Ukweli ambao wanaogopa kuukiri hadharani.
 
Ndugu zako kibao hapa bongo na afrika kwa ujumla wana shida kuliko hata hao wapalestina mbona hujawaombea? acha unafiki
 
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
huo mgogoro ni mzito sio kama unavofikiria ndugu, hapo kila mtu anasema ni kwake na kila mtu anatoa sababu zake za msingi
 
Skilizeni Enyi watu achani kugombana kwa sababu za kiimani na kidini.
Naunga mkono wapalestina waishi kwa Amani Katika ardh Yao naunga mkono wa waisrael waishi kwa Amani bila kupiga mabom sehemu za makazi ya watu.
Je Mungu ni Mmbaguzi ? La asha niseseme mm ! Ila kwakuwa mm ni mkristo nione ni sawa' kwa wapalestina kuwawa? Hivi kweli watu hawana ubinadamu kabisa?
Wayaudi wanaofanya vita hawa mwamini Kristo naye mwamini na pia wao Wana dini Yao.
The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians .
I'm standing with Humanity instead of those who's killings innocent people.
 
Walipewa ardhi wakazingua.wakaachwa wazurure.hapo sio kwao.ukisoma billiards utaona ni jinsi gani walikuwa wanavamia ardhi za watu na kutawala wakiwa na Joshua.
Weka nukuu ya Aya madai Yako , umeyatoa wapi kwenye Koran ?

Mimi naweka
Nukuu
Koran 5:21. Enyi watu wangu!(wa israel) Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni.
 
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???

Israel hiyo ardhi alivamia kama walivyovamia wapalestina soma historia,mbaya zaidi wapalestina wakajimilikisha hadi makaburi na mahekaru ya wayahudi
 
Back
Top Bottom